Mrejesho: Nilisema nitamwambia brother kuhusu mke kumsaliti

Hahaha
 
Wake wa watu ni watamu na tutaendelea kuwala mbushsu zao.
Fanyeni mtakalo fanya
 
Kuna manzi nilimzalisha sasa boya mmoja kajidai kuoa, ila simlaumu sana yule mtoto ni mzuri ila ndo hivo uzuri wake anaufanya mtaji, nilipojua she was a hoe nikamwambia tulee tu mtoto.

Sasa kila nikikutana nae lazima nimle, nikitaka kuichakata tu namwambia leta mtoto nimuone, na yeye anakuja anakunjwa. Wake za watu watamu sana ila asiliwe mke wako tu sababu huo utamu unabakiza magnitude ileile lkn unabadilsign na kuwa uchungu
 
Nakupongeza Mkuu Kwa Hatua ulizochukua.... Wazinzi ndo wameamua kutumia...!
 
Safi kabisa, huwezi kuona kuna uharibifu kwa ndugu yako ukaendelea kukaa kimya et kisa utonekana mbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…