MREJESHO: Nimeendesha Uber na Taxify kwa gari yangu ndani ya miezi mitatu

Wewe ni jipu nimetembelea vijiwe vingi vya taxi madereva wazee mpaka vijana wako very positive na uber na inavyowasaidi...

Ndio mkuu. Ila kwa part time unapata hela ya ku-survive. Ila kwa dereva Taxi inakua nzuri kama nilivo sema hapo mwisho.

Mtu akikuelezea unaona faida na utajiri nje nje. Ila ukiingia kwenye game, kwa gari binafsi tena sio full time (kwa week mara 2 au 3 hivi), wallah baada ya mwezi mmoja utaona kama umesave ata laki 2.
 
Kwa hiyo baada ya kuacha kazi inayokuingizia 60k per day kwa kuona ni ujinga na kujizeesha sasa hivi umepata inayokuingizia milioni kwa siku ili uendelee kubaki kijana!?

Hapana Uncle. Mimi nina kazi yangu nyingine, ila nikasema ngoja nijaribu kufanya hii iwe inanirudishia hela ya mafuta na service ya gari, yaani gari isiwe inatoa hela yangu ya mshahara katika service yake. Mwisho wa siku nakuta kinyume na matarajio. May be nilikosea somewhere.

Ila sina kazi inayoniingizia Mamillioni, kipato kidogo tu kibishi.
 
Kabisa, tena huwa nawaona wanavyosafisha, maji yao mara nyingi machafu, kifagio na kizoleo kimechoka, au wanatumia matambara tu, matambara ya kuoshea gari hujuwi lipi la kioo lipi la matairi, swala la usalama wa vitu vyako ndani ya gari wawa mdogo sana, kuzoena na hao jamaa hapana kabisa, wanaweza hata kukuliza gari siku...kifupi siwaamini, ni heri gari liwe chafu mpaka ukipata muda mkuu..
Zile presha pump zao zinachakaza rangi balaaa
 
Hahaa nimecheka hilo la madogo walevi, na kwel maana haya mambo ya mtandao ma wazee wapi na wapi! Hapo nimekubali ww ni uber member.

Brother. Nilivijua viwanja vyote sijui Next Door, Element, TIPS... nilikua sijawahi kujua kwamba watu usiku hii DAR hawalali. Hafu na kujibembeleza kwa mteja ili akupe 5 Stars, bora wateja wa kiume na wageni (wazungu) waelewa sana na wanakupa clean 5 stars. Ila wadada wako very selective, mara ongeza AC, peleka wimbo next, wanakelele uku wanajirecord kwenye gari, hafu mwisho wa safari unakuta rate yako imeshuka, ujue umekula nyota 1.
 
Mkuu wazo zuri. Ila nakaa nyumba ya kupanga. Ikifika saa 4 wanafunga geti. Na mimi sina mtu ambae ninaweza mpigia simu au mgongea dirishani afungue geti kwa ndani niingie. So kwakua nilikua nimeamua hivo, nikawa kama popo, nalala mchana, usiku nakesha.
Mkuu hii sababu mbona in solution c ungeongea na mwenye nyumba ukaweka kitasa hta km ni geti ukija muda wowote unafungua
 
Tufanye ka save 60,000/= kwa siku X siku 28 = 1,680,000/=
Hapo UBER alishalipwa 25%...

Au?

Nilikua nafanya weekend tu. Kwakua weekdays nina kazi nyingine sikutaka kuchanganya mambo.
Nikianza Ijumaa labda saa 2 au 3 (Huu muda foreni inakua low kidogo) basi naenda maeneo kama UDSM, Mabibo Hostels, Mlimani City na Ubungo Bus terminal kwakua kuna Pings nyingi. Hafu napiga hadi saa 12 asubuhi ndio naenda kulala. Ijumaa, uta save kama 60 hivi nikitoa mafuta kwakua Ijumaa sio siku nzuri sana.

Jumamosi na Jumapili kidogo nzuri. kwanza foreni zinawahi kuisha jioni. kuanzia saa 3 barabara ni nyeupe. Pia watu wengi sana wanaenda out. So ukiwa unavijua viwanja sana hukosi pings kila baada ya dakika chache.

Kwahiyo kwa mwezi nikifanya weekends 3 hivi, kale ka hela ulikokapata, unakuta unakatumia kwa matumizi ya kawaida tu, huwezi save. Unavoanza Uber/Taxify jioni gari yako inakua safi tu, Ila kufika asubuhi gari inakua chafu sana, ndani na nje.

Kuosha mwenyewe wazo zuri, ila kumbuka AC ilikua ON muda mwingi, so kunakua na vumbi sana kwenye Airclear ya AC lazima ikapulizwe, pia ndani lazima ipitishwe vacuum cleaner maan wale abiria wengi sio wastaarabu wale wa usiku.

Kuna abiria wanajielewa sana. Akifika karibu na kwake anasema ishia hapa hapa kule barabara haipitiki mimi nitatembea. Au anakuachia hadi Tip.

IlA nilichojifunza ni kua mstaarabu sana kwenye gari la mtu, ata kama nalipia hela au nimepewa lift, roho inakua inakuuma sana kuona mtu ana panda na bia au chakula kwenye gari lako, ila ndio hivo huwezi mfukuza abiria.
 
Hapo amekwambia amekwepa 25% ya uber toa iyoo then piga hesabu alfu uyoo gari yake mwingine unakuta gari ni la kupeleka hesabu elfu 30 au 25
Uber hapo bongo labda wangefanya 10% tuuh

Uber na Taxify wangeangalia tena hesabu zao. Wao wanaangalia factor mbili tu. Umbali (km) na muda mlioutumia njiani (dakika). Ila wanasahau kwamba kuna barabara Dar hii zina changamoto na ni risk sana mtu kupitisha gari lako. Na gari likiaribika wao hawajui ilo, ata kama sababu ni njia mbaya ulipompeleka abiria.

Ila kama abiria ametapika au amechafua gari au amevunja taa au kioo cha gari lako, utalipwa hela ya thamani ya kioo/taa/kusafisha gari lako mapema sana.
 
Nilikua nafanya weekend tu. Kwakua weekdays nina kazi nyingine sikutaka kuchanganya mambo.
Nikianza Ijumaa labda saa 2 au 3 (Huu muda foreni inakua low kidogo) basi naenda maeneo kama UDSM, Mabibo Hostels, Mlimani City na Ubungo Bus terminal kwakua kuna Pings nyingi. Hafu napiga hadi saa 12 asubuhi ndio naenda kulala. Ijumaa, uta save kama 60 hivi nikitoa mafuta kwakua Ijumaa sio siku nzuri sana.

Jumamosi na Jumapili kidogo nzuri. kwanza foreni zinawahi kuisha jioni. kuanzia saa 3 barabara ni nyeupe. Pia watu wengi sana wanaenda out. So ukiwa unavijua viwanja sana hukosi pings kila baada ya dakika chache.

Kwahiyo kwa mwezi nikifanya weekends 3 hivi, kale ka hela ulikokapata, unakuta unakatumia kwa matumizi ya kawaida tu, huwezi save. Unavoanza Uber/Taxify jioni gari yako inakua safi tu, Ila kufika asubuhi gari inakua chafu sana, ndani na nje.

Kuosha mwenyewe wazo zuri, ila kumbuka AC ilikua ON muda mwingi, so kunakua na vumbi sana kwenye Airclear ya AC lazima ikapulizwe, pia ndani lazima ipitishwe vacuum cleaner maan wale abiria wengi sio wastaarabu wale wa usiku.

Kuna abiria wanajielewa sana. Akifika karibu na kwake anasema ishia hapa hapa kule barabara haipitiki mimi nitatembea. Au anakuachia hadi Tip.

IlA nilichojifunza ni kua mstaarabu sana kwenye gari la mtu, ata kama nalipia hela au nimepewa lift, roho inakua inakuuma sana kuona mtu ana panda na bia au chakula kwenye gari lako, ila ndio hivo huwezi mfukuza abiria.
Nafikiri unashida hapo..kuna switch huwashi unapowasha A.C
 
Uber na Taxify wangeangalia tena hesabu zao. Wao wanaangalia factor mbili tu. Umbali (km) na muda mlioutumia njiani (dakika). Ila wanasahau kwamba kuna barabara Dar hii zina changamoto na ni risk sana mtu kupitisha gari lako. Na gari likiaribika wao hawajui ilo, ata kama sababu ni njia mbaya ulipompeleka abiria.

Ila kama abiria ametapika au amechafua gari au amevunja taa au kioo cha gari lako, utalipwa hela ya thamani ya kioo/taa/kusafisha gari lako mapema sana.
Uber wao wanachojua kuwa wote wanaoendesha uber ni gari zao so wanaona poa awajui changamoto me kuna jamaa aneendesha uber ili apate angalau 20 au 30 yakwake binafsi lazima apige adi night kalii
 
Makampuni ya Kitanzania ya kukodisha magari yanayoingia mkataba na madereva wajanja sana. Wanaweka GPS track ili usiweze kutembea usiku. Wakisema mwisho saa 1 usiku. Ukiendesha tu wanajua. Wanakupigia simu.
 
Nilikua nafanya weekend tu. Kwakua weekdays nina kazi nyingine sikutaka kuchanganya mambo.
Nikianza Ijumaa labda saa 2 au 3 (Huu muda foreni inakua low kidogo) basi naenda maeneo kama UDSM, Mabibo Hostels, Mlimani City na Ubungo Bus terminal kwakua kuna Pings nyingi. Hafu napiga hadi saa 12 asubuhi ndio naenda kulala. Ijumaa, uta save kama 60 hivi nikitoa mafuta kwakua Ijumaa sio siku nzuri sana.

Jumamosi na Jumapili kidogo nzuri. kwanza foreni zinawahi kuisha jioni. kuanzia saa 3 barabara ni nyeupe. Pia watu wengi sana wanaenda out. So ukiwa unavijua viwanja sana hukosi pings kila baada ya dakika chache.

Kwahiyo kwa mwezi nikifanya weekends 3 hivi, kale ka hela ulikokapata, unakuta unakatumia kwa matumizi ya kawaida tu, huwezi save. Unavoanza Uber/Taxify jioni gari yako inakua safi tu, Ila kufika asubuhi gari inakua chafu sana, ndani na nje.

Kuosha mwenyewe wazo zuri, ila kumbuka AC ilikua ON muda mwingi, so kunakua na vumbi sana kwenye Airclear ya AC lazima ikapulizwe, pia ndani lazima ipitishwe vacuum cleaner maan wale abiria wengi sio wastaarabu wale wa usiku.

Kuna abiria wanajielewa sana. Akifika karibu na kwake anasema ishia hapa hapa kule barabara haipitiki mimi nitatembea. Au anakuachia hadi Tip.

IlA nilichojifunza ni kua mstaarabu sana kwenye gari la mtu, ata kama nalipia hela au nimepewa lift, roho inakua inakuuma sana kuona mtu ana panda na bia au chakula kwenye gari lako, ila ndio hivo huwezi mfukuza abiria.
Well said..
 
Brother. Nilivijua viwanja vyote sijui Next Door, Element, TIPS... nilikua sijawahi kujua kwamba watu usiku hii DAR hawalali. Hafu na kujibembeleza kwa mteja ili akupe 5 Stars, bora wateja wa kiume na wageni (wazungu) waelewa sana na wanakupa clean 5 stars. Ila wadada wako very selective, mara ongeza AC, peleka wimbo next, wanakelele uku wanajirecord kwenye gari, hafu mwisho wa safari unakuta rate yako imeshuka, ujue umekula nyota 1.
Tunakubali, ni kazi yenye uhitaji uvumilivu wa hali ya juu, hapo bado hujakutana na walevi watakaotaka dezo! Shida..
 
Back
Top Bottom