MREJESHO: Nimeendesha Uber na Taxify kwa gari yangu ndani ya miezi mitatu

Typical hesabu za Mtanzania ambae hajawahi fanya biashara. Ingekuwa hivyo kila mtu angeendesha Uber!

Una uhakika gani sijawahi kufanya biashara?kila mtu ana uwezo wa kununua gari na kufanya uber?

Nimempigia hesabu alizoweka mwenyewe kama net profit kwa siku ikienda vibaya, sijaongeza neno wala kiasi
 
Typical hesabu za Mtanzania ambae hajawahi fanya biashara. Ingekuwa hivyo kila mtu angeendesha Uber!
13 mega pixel said:
60,000×30×3= 5,400,000/= net profit(minimum) na bado unalalamika...

Hiyo corrolla yako ulinunua bei gan?

Cha kushangaza huyo bwana kaweka 30 (yaani siku 30 badala ya 20 au 24 sababu ya mapumziko)..
Na hesabu ya 60,000/- kwa siku hapana, 30,000/- kwa siku tutakubali...
Kwa hiyo basi...
24 x 30,000/= ni sawa na 720,000/= kwa mwezi...
Sielewi hesabu yake ya siku 30 gari kufanya kazi bila ya dereva au gari kupumzika!
Kweli huyo mbumbumbu wa hii biashara...
 
Uliwezaje Kuacha Kuwalipa fedha zao Uber?
 
Mkuu hiyo gharama ya car wash ungeweza kuiepuka kwa kununua sabuni ya unga na dumu zako tano ambayo ingekuwa ni chini ya buku tano, ungetumia two hours kuosha na sabuni ungetunza next time unanunua maji tu.

Sometimes ukitaka kutoboa unajitoa ufahamu tu
 
Madereva Uber Dar wanaburuzwa tu hawajui haki zao haiqezekani utoke Airport (JNIA) mpaka Kempinski kwa 6,000 Tsh na bado unakenua meno tu.
 
upo sahihi.. mimi nina gari yangu.. ila kuna siku nilipanda uber kutoka muhimbili hadi banana airport na ikasoma 8000 na tulikaa kwenye foleni mbaya. mpaka nikamuonea huruma dereva nikamuongeza 2000

Hope ulim-rate vizurii (5 star)
 
Tufanye ka save 60,000/= kwa siku X siku 28 = 1,680,000/=
Hapo UBER alishalipwa 25%...

Au?
Mueleweni kasema kuwa ni ijumaa kwa jpili
 
Alfu nimegundua wew syo dereva mzuri ...unalalamika bampa kwani ni kila wkt unaharibu bampa au once kwa muda mrefu?
 
Nikweli hayuko serious huyu jamaaa alfu analalamika kaaribu bamba lake ndio hapo inamuuma kwani c yey ndio karibu kwa uzembe wake huyu atayumbisha watu wasifanye biashra hii wabaki wao tu huku wakileta changamoto nyingi ili kusudi vijana wakwamee wakose kaz za kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…