Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

HAVINA MIDA!
NA MPAKA UJAMBE
 
🤣🤣🙌🏿
Safari ya kutafuta mke au mume ni kama safari ya kutafuta maisha. Kunawengine wanapata maisha wakiwa wadogo kuwengine wanayapata wakiwa watu wazima na wengine wanayapata wakiwa wazee. Vivyo hivyo hata katika kutafuta mke au mume usikatetamaa unapoumizwa Wala usiache kuamini. KUBALI NDOA.
 
Amiin
 
Mkishaoana mkuu,Kumbuka wote ulioachana nao uliwaita hivyohivyo mkuu....kiko wapi
Niseme tu mtoa mada kuna kitu hakipo sawa, haiezekani wewe mtu mmoja waje sjui wanawake watatu woote unasema wana mapungufu! john issa ndo ana matatizo ila ana bahati ya kupata wanawake wa kumvumilia siku mbili tatu kama manara tu
 
mm nimeachana na mmoja mkuu, nikweli kuwa na mimi ntakuwa na matatizo yangu. siwezi kuwa perfect
 
mm nimeachana na mmoja mkuu, nikweli kuwa na mimi ntakuwa na matatizo yangu. siwezi kuwa perfect
lakin pia mimi sipendi kuvumiliwa kwa chochote, maana ata wife wangu hakuwahi kukosa wala kushindwa kutimiza alichohitaji
 
Aisee..
Yaani umetangaza jana tu leo tayari una mke?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…