Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

Habari zenu,napend kuwashukuru wale wote mlojitokeza kwa nia nzuri au mbaya, Najua wengi mlikuwa hamna nia nzuri,Na wote mlotoa maneno ya kashifa kwangu, Nakubwa namshukuru mungu wangu kwa nikipatia mume bora,Kutoka hapahapa JF ,Nlimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.Ahsanteni wote
JF hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Umepata mume au mchumba?Na ni kwa kipimo gani umejua kuwa ni mume bora? BTW hongera.
 
Hongera sana mbarikiwe wapendwa,ingawa issue sio kupatana issue hapo iko kwenye kuleana,hapo lazima mumshirikishe mwenyezi Mungu ili muweze kudumu milele.
 
Back
Top Bottom