Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe inawezekana eeeehHabari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
Ukiona hivyo ujue tayari tunda limeliwa....asubiri tu kupigwa kalenda....Umepata mume au mchumba?Na ni kwa kipimo gani umejua kuwa ni mume bora? BTW hongera.
NikweliTangazo tar 29 Dec 2015
Leo ni tar 26 Feb 2016
Umeshajihakikishia ndani ya siku zisizozidi 60!
Mungu akuongozeni na niwatakie kila la kheri, usisahau kutujulisha JF harakati za harusi huenda ukapata mchango kutoka JF, hata wa mawazo.
Shemeji mbona mkali weye?? hongera lakini.kwani kuna kanisa humu au msikiti
sijakuekewa hata kidogo, jaribu kufupisha labda utaeleweka"KikulachoChako - Dec 29, 2015 Hitaji la kutaka kuolewa....linakufanya
upoteze uwezo wako wa kufikiri na
kuchanganua mambo......kufunga ndoa
ni jambo la kwanza na kuhimiri
mikikimikiki ya ndoa ni jambo la
pili......... Maamuzi ya ndoa ni moja kati ya
maamuzi yanayohitaji umakini wa hali
ya ju kwani ni maamuzi
yanayopelekea kubadilisha mfumo
mzima wa maisha yako......... Ndoa ni mahali penye furaha.....ni
muunganiko unaoleta faraja ndani ya
mioyo ya wapendanao.....unatakiwa
uishi na mtu anayeishi ndani
yako......kwa sababu hakuna shule au
chuo kinachofundisha namna ya kupenda........ KUPANGA NI KUCHAGUA......."
Sina cha kuongeza, ila jiongeze ndo utaelewa namaanisha nini.
cc: rubylove, KikulachoChako.
Basi sawa, hongera pia kwa hatua nzuri uliyofikia.Mpaka nimekuja humu ujue nimejiridhiasha vya kutosha, Usiwe na wasiwasi
Namjua sana, achana na wasioamini ofcoz nimeona km umepaniki vile my shem jamani, usikasirike mwaya.Hapana semeji, aio mkali muulize haya mchumba wangu, si wamjua eee
Habari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
Ukimpa tamu kabla ya ndoa kosa!!! Mfunge ndoa kwanzaHabari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
Hehehehe achha kumtisha binti wa watuKumbe bado mko kwenye mchakato hapo ndio wanakolizwa kuwa makini sana usije ukatumika bure