Mimi ni mmojawapo ambaye nimepata mke kupitia JF tumefunga ndoa mwaka jana na hadi sasa tunaendelea vizuri namshukuru Mwenyezi Mungu.Nanyi Inshaallah mutafanikiwaasante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmojawapo ambaye nimepata mke kupitia JF tumefunga ndoa mwaka jana na hadi sasa tunaendelea vizuri namshukuru Mwenyezi Mungu.Nanyi Inshaallah mutafanikiwaasante
,asante naamini mungu ni mwwma,na nilivumilia vichambo vyote vya humu, mungu awabarikiHongera sana japo umepata vichambo vya kutosha....usijali hii ndo J f.Kila la kheri naamini uliyempata ana shida na mke, Mungu awajaalie maisha yenye furaha na amani katika uchumba wenu hadi mtakapojaliwa kufunga ndoa.
haya wee subiria sinema, chukua na kiti ukae kabisa.....wanaume tunapohitaji kitu utatuita kila aina ya maneno matamu likiwemo hilo la mume bora kutokana na unyenyekevu,huduma na mengineyo lakini kwa hii sinema tutarajie mrejesho mwingine
Acha speed dada, mchakato sio ndoa. Kuwa mtulivuhatujapanga ni lini ndo tupo kwenye mchakato
Haya shem,nitakuuliza shemeji.sawa shemegi
Huyo mchumba wa haraka haraka ivyo mama. ...! Nina maswali mengi sana imekuwaje umejiaminisha hivyo, maana huo uzi ulileta hapa JF 29 DECEMBER 2015, ndani ya miezi 2, ameshakuwa mchumba? Au wewe ni wale wale, maharage ya Mbeya, ndio maana boyfriend wa mwanzo alisita kutangaza nia...!?Habari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
Naomba niwe Bestman kwenye harusi yako"Habari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
Mkuu, jaribu kutoonyesha hiyo rafudhi ya kikuryaWara hatujari,tunasubiri kwa hamu
kumbe ulikuwa unatafuta umaarufu? Hongera lakini umaarufu haupimwi katika vitu kama Hivi kuwa muangalifu sana utakapo megwa na kuachwa ni majuto yako... Kaa chini na utafakali hivi ungelileta hili bandiko baada ya ndoa kungeharibika kituna kaa ukisubiri umaarufu nlokuwa nautafuta,loh
Shimo ndo nini?imekaa poa ila usimpe shimo mpaka ndoa kwanza