Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

Habari zenu,

Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.

Asanteni wote
Do not boast before achievements, hata yule wa kwanza alikuahidi ndoa, but congrats.
 
Jifanye mjuaji ,Hadi kwa mungu utajiona ww mjuaji ,loh Asante pia,
Kukuuliza swali ndo unijie moto kama mwiko wa pilau, kwa haya majibu unaonekana jinsi ulivyo empty huko kichwani......na hata huyo unayemuita mume bora yuko anakuchora tu jinsi 'mke bora' ulivyo na majibu ya chooni. Good luck.
 
hahahaaa, siko hivyo na kama nimekuuthi niwie radhi
 
hongera sana rubylove
twambie alivo maana vile vigezo vyako kipindi unatafuta mh! au ulilegeza kamba maana ndugu zangu kama kina waitu uliwatenga.
 
Umepata mume wakat hamjafunga ndoa 😎 subiria movie

Natania tu ,Mungu Awaongoze vyema kwenye Ndoa Yenu tarajiwa
 
Kukuuliza swali ndo unijie moto kama mwiko wa pilau, kwa haya majibu unaonekana jinsi ulivyo empty huko kichwani......na hata huyo unayemuita mume bora yuko anakuchora tu jinsi 'mke bora' ulivyo na majibu ya chooni. Good luck.
Duh yamekuwa hayo
 
Nadhani mpaka mlipofikia hakuna haja ya kuficha ID yake,ungeiweka hadharani maana JF hii ni pana kuliko uijuavyo.
Unaweza ona umepata kumbe kuna wenzio wanadanganywa hivyohivyo huko PM's na kujiona wamepata.

Na hasa ogopa ID's mpya...JF ya sasa wageni ni wachache,wengi ni walewale ila wana ID's zao mpya au za kazi zao maalum.

Huu ni ushauri tu,take it or leave it....
Kila la kheri.
 
asante sana kwa ushauri ila nimefanya uchunguzi wa kutosha na kujuana pia
 
Nadhani mpaka mlipofikia hakuna haja ya kuficha ID yake,ungeiweka hadharani maana JF hii ni pana kuliko uijuavyo.
Unaweza ona umepata kumbe kuna wenzio wanadanganywa hivyohivyo huko PM's na kujiona wamepata.

Na hasa ogopa ID's mpya...JF ya sasa wageni ni wachache,wengi ni walewale ila wana ID's zao mpya au za kazi zao maalum.

Huu ni ushauri tu,take it or leave it....
Kila la kheri.
uko vizuri dada
 
Hongera sana japo umepata vichambo vya kutosha....usijali hii ndo J f.Kila la kheri naamini uliyempata ana shida na mke, Mungu awajaalie maisha yenye furaha na amani katika uchumba wenu hadi mtakapojaliwa kufunga ndoa.
 
Aiseee,hlo bandko ulileta mwaka jana mwez wa 12 tar 29,,,yaan mmeshafahamiana muda mfup hvo na mpo kwenye michakato ya ndoa daah,hongereni saaana
 
Back
Top Bottom