Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Wara hatujari,tunasubiri kwa hamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wara hatujari,tunasubiri kwa hamu
Halo kweli kukaa mda mrefu kwenye mahusiano sio kigezo chakusema ndio ndoa imara,mfano wa mim mwenyew nimefunga ndoa decemba last yr,na tulianzisha mahusiano mwez wa 3 na saiz tupo frsh tunaishi.Kukaa mda mrefu au mfupi si kigezo cha uimara wa ndoa..comitment,upendo wa dhati,uaminifu na uhitaji wa kila mmoja na mwenza wake kila wakati.
sawa shemegiKukaa mda mrefu au mfupi si kigezo cha uimara wa ndoa..comitment,upendo wa dhati,uaminifu na uhitaji wa kila mmoja na mwenza wake kila wakati.
unatumia mchina.Someka basi na wewe? Tu viboxxxxxxxxxxxxxxx tu
Mi mwenyewe sinywikunywa mwenyewe mm aku
Mpaka nimekuja humu ujue nimejiridhiasha vya kutosha, Usiwe na wasiwasiUmetumia mda gani kujiridhisha nae kama anafaa kuwa mume bora?
Au ndo zile za kujuana siku hiyohiyo na kutangaza ndoa, usichukulie ndoa ni rahisi rahisi kama unavyochukulia.
Ukiona hivyo ujue tayari tunda limeliwa....asubiri tu kupigwa kalenda....Umepata mume au mchumba?Na ni kwa kipimo gani umejua kuwa ni mume bora? BTW hongera.