Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

nisitie neno hapa ngoja nipite na zangu. Mtu yupo kwenye mchakato wa ndoa lakini keshajua aliyenae ni mume bora.... Hii ndio jf bhana Jimena wangu angalia hapa
 
Kukaa mda mrefu au mfupi si kigezo cha uimara wa ndoa..comitment,upendo wa dhati,uaminifu na uhitaji wa kila mmoja na mwenza wake kila wakati.
Halo kweli kukaa mda mrefu kwenye mahusiano sio kigezo chakusema ndio ndoa imara,mfano wa mim mwenyew nimefunga ndoa decemba last yr,na tulianzisha mahusiano mwez wa 3 na saiz tupo frsh tunaishi.
 
Duh!
Naona hapo wote mlikuwa desperate, too soon.
DESPERATION sometimes leads to DRASTIC MEASURES.
Ila kama mmetambua mnaendana, hamna tatizo!
Swali la kizushi: MMESHA TIANA?
 
Umetumia mda gani kujiridhisha nae kama anafaa kuwa mume bora?
Au ndo zile za kujuana siku hiyohiyo na kutangaza ndoa, usichukulie ndoa ni rahisi rahisi kama unavyochukulia.
 
Hongera sana mbarikiwe wapendwa,ingawa issue sio kupatana issue hapo iko kwenye kuleana,hapo lazima mumshirikishe mwenyezi Mungu ili muweze kudumu milele.
Ameen, asantr kwa ushauri na tunafanya hivyo, Ahsante
 
Umetumia mda gani kujiridhisha nae kama anafaa kuwa mume bora?
Au ndo zile za kujuana siku hiyohiyo na kutangaza ndoa, usichukulie ndoa ni rahisi rahisi kama unavyochukulia.
Mpaka nimekuja humu ujue nimejiridhiasha vya kutosha, Usiwe na wasiwasi
 
Back
Top Bottom