herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Usisahu kadi za mwaliko,za mchango ata ukinisahau sio mbaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa watu mna maswaliDuh!
Naona hapo wote mlikuwa desperate, too soon.
DESPERATION sometimes leads to DRASTIC MEASURES.
Ila kama mmetambua mnaendana, hamna tatizo!
Swali la kizushi: MMESHA TIANA?
Oooh shemeji missing you too jamani heshma yako shemdarling ake...huko kwenu shem sahizi ni asubuhi vile!
...missing you dearly!
Kama hujaolewa nijulisheUlimpata lini?
Na mnafunga ndoa lini?
Tayari na watoto7 ninaoNawewe
Kama hujaolewa nijulishe
HongeraTayari na watoto7 ninao
AsanteHo
Hongera
Mimi ni mmojawapo ambaye nimepata mke kupitia JF tumefunga ndoa mwaka jana na hadi sasa tunaendelea vizuri namshukuru Mwenyezi Mungu.Nanyi Inshaallah mutafanikiwa
wanaume tunapohitaji kitu utatuita kila aina ya maneno matamu likiwemo hilo la mume bora kutokana na unyenyekevu,huduma na mengineyo lakini kwa hii sinema tutarajie mrejesho mwingine
shukrani mkuu naamini na kwetu pia itawezekana..
Mkuu hongera sana japo wapo wanaobeza lakini naamini wengi ni wivu tu na kukata tamaa hawaamini kama unaweza kumpata mme au mke hapa jf au kumpata kwa haraka kihivyo kutokana na maigizo waliyoyazoea. Kukaa na mtu miaka 2, 3, 4 eti mnachunguzana ndo chanzo cha kupotezeana muda na kuachana kwa sababu rahisi sana na wala haijalishi kwamba ndo lazima muoane, wengi wamepotezewa muda nikiwemo mimi na baadae unaanza na moja sasa utumie tena miaka 4 kudate na mwingine?. Nawashauri vijana wenzangu akitokea mdada/mkaka kakupenda na anahitaji kuoa/kuolewa usipoteze muda mrefu kuchunguzana miezi mitatu hadi sita inatosha sana hujamkubali ndani ya muda huo achana nae sio kila siku unaextend probation. Ata mchunguzane miaka 10 siyo tiba ya kumpata mwenza bora kwanza ni dalili ya mashaka mashaka na huyo mtu labda kama umri wako haujatimia. Kuna tabia nyingine zinaibuka kutokana na wakati na mazingira cha muhimu ni nyinyi kurekebishana na kutanguliza mapenzi.
Mamii90 yuko wapVery true.. Ni kumshirikisha Mungu tuu, asemacho yeye follow it.. But binadamu not all of them are meaning well .. Thanks..
huwezi kumjua aliyeserous na hakuna alama ya aliyemakini na afanyacho mtu.. Huyu mnayemsifia na kumpongeza Siku akitendwa Mungu atawalaumu Nyie kwa kumpoteza mwenzenu.. Au kwa vile wewe ulipata mume humu?Mmmhh, dear wako walio serious humu Jf . Ila unahitali kummshirikisha Mungu zaidi.. Thanks..
huwezi kumjua aliyeserous na hakuna alama ya aliyemakini na afanyacho mtu.. Huyu mnayemsifia na kumpongeza Siku akitendwa Mungu atawalaumu Nyie kwa kumpoteza mwenzenu.. Au kwa vile wewe ulipata mume humu?
Japo kuwa umeandika mengi na mifano kibao lakini kamwe siwezi kuchuma dhambi kwa kumshauri mtu ambaye hajui ndani ya moyo wa mtu kuna nini...My dear stay in positive side ...You never know behind of the closet .. Have you ever meet with someone kwa siku ya kwanza , moyo na nafsi ikasema yes this is the one ? May be huyu Dada alikaa kwa maombi ya kulia muda mrefu na Mungu wake bila wewe / Mimi/ sisi kujua so we can't judge her.. I have one of my BFF she was in relationship for 6 years ,the year that she was suppose to get married her heart discernment ilimuambia sio mume wake ... So she can't get marry with him.. When she came to tell me the first answer I remembered told her tufanye kufunga na maombi tupate muongozo kwa Mungu.. I thank we did it and God answered our prayers na kutufunulia yaliyo sirini.. The guy who she was engaged and supposed to get married with wasn't faithful unto her.. 6 good years Ibra. She had to broke up with him.. It wasn't easy but she had too.. To make story short , to prove that God answered our prayers the same year and month aliyotakiwa amuoe best friend wangu , ndio the same time aliyokwenda kumuoa msichana mwingine .. Na ukumbuke it was 6 months before the wedding yake na my BFF ... Ilimuuma sana my BFF but she had to face the truth .. After that guy married .. My BFF entered with serious fasting and prayers akinishirikisha na Mimi... The last day if our fasting and prayers nilimuambia aandike list anayotaka from her future husband aweke kwa envelope and sowed the best seed tuweke madhahabuni .. She did it... Sasa Mungu akuvyojibu Yale maombi utashangaa Ibra.. She met with her now husband on the Facebook... And I remembered when she came to tell me I thought she was playing but she was serious. And the guy wasn't at the same country she was .. .( as a best friend for her I just had to pray with her na kumshauri )( Remember this girl we grew up together tulikutana shule when we were 7th grade , tukaenda the same High school ,the same college so our friendship is more than a friendship ) .. So they meet together ..I remembered that time when she wanted to meet with him , everybody was against it including her own family ... But I told her if this is your destiny don't let anyone to interrupt including me loveissweet .. I supported her.. After they met , in one week the guy proposed to her without delays.. He paid dowry and everything in 2 month they married .. Now wana mtoto ,happily married couples ... Ndoa yao INA mwaka WA 3 now.. And since they have been married I have never smell any bad things and all people who were against it now they are supporting and some of them wanakuja kwao for the advice... Now IBRA I don't expect you to believe the story but that's the Truth.. The only person knows about our destiny and future is God ... Having a long yeara relationship doesn't guarantee that two people can get married and live happily .. .. That's why it us good to spend more close to God who can lead and guide us inavyotakiwa.. So hatujui huyu Dada after alivyojitoa kwa last relationship alimmlilia nini na kummpa nini Mungu mpaka anakuwa Ku confidence the way she is now.. Her Faith is more Powerful than anything.. Because without Faith is impossible to please God.. Her Faith moves God, and I do believe with all my heart because of her Faith God saw her through and granted her heart desire .. Its only God IBRA knows what is inside of the closet.. She can nevery said what she did until ammemjua huyo mume mtarajiwa but what I can say is Faith , Fasting, prayers and seed move the mountain ... So tumuache jamani , tusimjaji ... Amen. Thanks..
Dear I don't expected you to understanding me but I have learned not to judge others but to pray for them because you are not / I'm not the one who hold the key of her life including you .. Na hata neno linasema do not judge ... What you can do is to wish her well .. After all she didn't come here to ask for the advice .. She came to share her happiness so let it be .. He who finds a good wife , he finds a good thing , I apply the same for her .. She found a good husband to be then she found a good thing .. What you can do is to pray fot her so hivyo vitu vibaya unavyohisi visimmtokee, I think it is a better idea than talking negatives and judge her .. Remember usifananishe wengine na huyu Dada .. Thats why tumezaliwa tofauti, na majina tofauti , hivyo Mungu ujibu prayers kitofauti.. Na ndio maana sio wote wamwitao Bwana , Bwana wataurithi ufalme wa mbingu.. Thanks..Japo kuwa umeandika mengi na mifano kibao lakini kamwe siwezi kuchuma dhambi kwa kumshauri mtu ambaye hajui ndani ya moyo wa mtu kuna nini...
kuamini mifano yako na kukubali kumshauri huyu ni sawa nakutaka kumpeleka shetani katika pepo. tambua leo na kesho akiumizwa na kulizwa utakuwa mmoja kati ya watu waliompoteza huyu kondoo.
kuamini na kumuachia Mungu lile hitaji lako hakukufanyi umuache mtu aende tu bila kuonyesha wasiwasi wako. wangapi wanapeleka matatizo yao madhabahuni na Hawajajibiwa chochote mpaka leo? Wangapi wana matatizo ya ndoa na wanakesha kwa maombi na kufunga lakini bado hakuna lolote walilopata? Ni wakati wakuondoa kibanzi machoni mwetu kujaribu kuokoa wengine kwa kuwa no one perfect lakini hainizuii kumwambia ukweli.
Ukishindwa kumwambia na akangia katika ndoa yenye mateso makubwa wewe na wengine ndio mtakuwa chanzo. Hata MUNGU hawezi kuruhusu Tamaa iushinde utukufu wake... kama madhabahuni kungekuwa na Majibu Ya kila aina ya Mateso basi kusingekuwa na omba omba, wagonjwa na hata vilema.
kwa hili nitakuwa tofauti na wewe kwa kuwatunachotaka ni furaha kwa Huyu binti
USISAHAU NA UKE WENZA UNAKUHUSUhatujapanga ni lini ndo tupo kwenye mchakato