mwanairinga
Senior Member
- Dec 21, 2015
- 179
- 12
Ni pmUlimpata lini?
Na mnafunga ndoa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pmUlimpata lini?
Na mnafunga ndoa lini?
Ndio nini hiyo?Ni pm
Ndio nini hiyo?
Umeushitua moyo wangu loh!!Yepi tena?
Aise hiyo pm naiskiaga tu...Njoo pm tuongee
Bwana harusi mtarajiwa una mambo wewe loh!Umeushitua moyo wangu loh!!
Aise hiyo pm naiskiaga tu...
Sijui ni nchi,bara,mkoa,mtaa au kitongoji?
hahhaaa ,kwa hiyo kuolewa ndo usimjibu mtu, akija vibaya anajibiwa tunaona mtoa mada anakua mkali endapo atakosolewa au mtu akimzingua kidogo
kwa attitude hii ndoa inaweza kua chungu, maana kuishi na mtu huyohuyo kwa miaka 30+ chini ya paa moja kunahitaji tolerance sana
sio kila kejeli au tusi linajibiwa, mengine unapuuzia kwa kukaa kimya tu, inakua ni ukomavu na busara zaidihahhaaa ,kwa hiyo kuolewa ndo usimjibu mtu, akija vibaya anajibiwa tu
Wapo humu humu wanajijuaWabaya ni kina nani?
Hahahahaaa uuuwiiii pole yake maskini ya wenyeweChezea popoma wewe.....
Huyu dada hajui tu,kuna mwenzie alitutangazia ndoa huku nisingependa kumtaja,kilichomkuta anakijua mwenyewe.
Waungwana tunawaangalia tu....
I swear ningekuwa ndio mimi namtaja hadharani,hii inasaidia sana.
Ata sina mambo, kichwa tu kinauma ati!Bwana harusi mtarajiwa una mambo wewe loh!
Pole,mwambie bibie akupe massage ya kichwaAta sina mambo, kichwa tu kinauma ati!
Jamani wewe!!!Pole,mwambie bibie akupe massage ya kichwa
Usisahau hata michepuko bora ipo hapa hapa jf siku mna ugomvi mrudi mchepuke mpoze machunguHabari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
You are very proactive. Naona umempiga pin jamaa ili wazo la kusepa lisije mpitia. Keep it up and all the besthatujapanga ni lini ndo tupo kwenye mchakato
...huko kwenu shem sahizi ni asubuhi vile!Hahahahaaa uuuwiiii pole yake maskini ya wenyewe