Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

naona mtoa mada anakua mkali endapo atakosolewa au mtu akimzingua kidogo
kwa attitude hii ndoa inaweza kua chungu, maana kuishi na mtu huyohuyo kwa miaka 30+ chini ya paa moja kunahitaji tolerance sana
hahhaaa ,kwa hiyo kuolewa ndo usimjibu mtu, akija vibaya anajibiwa tu
 
hahhaaa ,kwa hiyo kuolewa ndo usimjibu mtu, akija vibaya anajibiwa tu
sio kila kejeli au tusi linajibiwa, mengine unapuuzia kwa kukaa kimya tu, inakua ni ukomavu na busara zaidi

pia naona ukikosolewa unakua mkali sana, sasa labda upate mume mpole sana maana nae akiwa kama wewe mtakosana mapema
 
Chezea popoma wewe.....
Huyu dada hajui tu,kuna mwenzie alitutangazia ndoa huku nisingependa kumtaja,kilichomkuta anakijua mwenyewe.
Waungwana tunawaangalia tu....

I swear ningekuwa ndio mimi namtaja hadharani,hii inasaidia sana.
Hahahahaaa uuuwiiii pole yake maskini ya wenyewe
 
Habari zenu,

Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.

Asanteni wote
Usisahau hata michepuko bora ipo hapa hapa jf siku mna ugomvi mrudi mchepuke mpoze machungu
 
Back
Top Bottom