GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Msimu mavuno naona bado skilzia mei nimetoka lubalis juz watu wako kwenye kupanda mavuno mwez mei mavunoWakuu wazee wa pori kwa pori naombeni Bei ya maharage hapo mwese
Ok nitakucheki miezi miwili mbele . AsanteMsimu mavuno naona bado skilzia mei nimetoka lubalis juz watu wako kwenye kupanda mavuno mwez mei mavuno
Karibu mkuuuOk nitakucheki miezi miwili mbele . Asante
[emoji736]
Mkuu Muscovy.Nitarud wa Tano kuvuna maharage na kulima nyanya nataka kufanya hii ishu bush hakuna analima seriously jamaaa Alikuwa analima local sana
Kilo buku ?Wachuuuz wa maharage kama una gari au kukodi anzeni kuweka mambo sawa kule mwese na lubalisi watu wameanza panda maharage mavuno mwez wa Tano ukiwa na gari binafs utalangua sanaaaa kilo 1000
Hii no story nyingine inayo hitaji Uzi wake. Ila usisahau kuni tag:Bonge moja la story afu linafundisha kinoma….Imenikumbusha safari yangu ya machimboni,kuna kipindi nilitaka kukata tamaa nirudi mjini lakini kuna jamaa angu mmoja wa kimakonde (konde boy) alikua akinitia moyo sana.
Thanks mkuu ...kilimo Cha kule haswa maharage na mahindi haya tegemei maji ya kisima maybe ulime nyanya ... maharage miez 3 Yana kuwa tayari kuvunwa ....Kwa ushauri wangu pesa unayo kule uje udalalie mazao mfano mchele kg 50 bei 25000 (elf ishirin na Tano) utalipa buku 3 ya kubebea kwenye punda unapotokea kule boda haifiki.Mkuu Muscovy.
Unaweza Kushusha Madini Kwa mapana kuhusu KILIMO Cha umwagiliaji?
Zaidi sana, kwenye upatikanaji wa vyanzo MAJI na aina ya mazao yanayokubaliana na Hali ya hewa ya huko wakati wa kiangazi.
NAOMBA UFAHAMU WAKO TAFADHARI.
Yes buku mkuu ...pumba 300 debe na maharage kopo kubwa mwana ukome buku muda huuu bei imeanza kupanda debe 25000 pesa Iko mizigo unaweka stick tuKilo buku ?
Asante Kwa Ufahamu huo Kiongozi.Thanks mkuu ...kilimo Cha kule haswa maharage na mahindi haya tegemei maji ya kisima maybe ulime nyanya ... maharage miez 3 Yana kuwa tayari kuvunwa ....Kwa ushauri wangu pesa unayo kule uje udalalie mazao mfano mchele kg 50 bei 25000 (elf ishirin na Tano) utalipa buku 3 ya kubebea kwenye punda unapotokea kule boda haifiki.
Karibu mkuuu mwez Tano mavuno ya maharage na mchele mei Mungu akipenda nitaenda huko tena Kwa kuvunaAsante Kwa Ufahamu huo Kiongozi.
Labda Kwakuongezea swali, Ni Mwezi wa Ngapi mazao kama Mpunga na Maharage huanza kutoka shambani?
Mkuu mtaji kuanzia kukodi shamba mpaka kuvuna ni wastani wa shingapi na mavuno yapoje?Karibu mkuuu mwez Tano mavuno ya maharage na mchele mei Mungu akipenda nitaenda huko tena Kwa kuvuna
Niliko Mimi eneo Bure Wana kijiji walitoa kaZ fulan nilikuwa kule wakatoa Bure kokodi elf 50 Kwa heka mavuno wew tu nguvu ka Iko na mvua zime changanyaMkuu mtaji kuanzia kukodi shamba mpaka kuvuna ni wastani wa shingapi na mavuno yapoje?