Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Bonge moja la story afu linafundisha kinoma….Imenikumbusha safari yangu ya machimboni,kuna kipindi nilitaka kukata tamaa nirudi mjini lakini kuna jamaa angu mmoja wa kimakonde (konde boy) alikua akinitia moyo sana.
 
Nitarud wa Tano kuvuna maharage na kulima nyanya nataka kufanya hii ishu bush hakuna analima seriously jamaaa Alikuwa analima local sana
Mkuu Muscovy.
Unaweza Kushusha Madini Kwa mapana kuhusu KILIMO Cha umwagiliaji?
Zaidi sana, kwenye upatikanaji wa vyanzo MAJI na aina ya mazao yanayokubaliana na Hali ya hewa ya huko wakati wa kiangazi.
NAOMBA UFAHAMU WAKO TAFADHARI.
 
Wachuuuz wa maharage kama una gari au kukodi anzeni kuweka mambo sawa kule mwese na lubalisi watu wameanza panda maharage mavuno mwez wa Tano ukiwa na gari binafs utalangua sanaaaa kilo 1000
Kilo buku ?
 
Bonge moja la story afu linafundisha kinoma….Imenikumbusha safari yangu ya machimboni,kuna kipindi nilitaka kukata tamaa nirudi mjini lakini kuna jamaa angu mmoja wa kimakonde (konde boy) alikua akinitia moyo sana.
Hii no story nyingine inayo hitaji Uzi wake. Ila usisahau kuni tag:
 
Mkuu Muscovy.
Unaweza Kushusha Madini Kwa mapana kuhusu KILIMO Cha umwagiliaji?
Zaidi sana, kwenye upatikanaji wa vyanzo MAJI na aina ya mazao yanayokubaliana na Hali ya hewa ya huko wakati wa kiangazi.
NAOMBA UFAHAMU WAKO TAFADHARI.
Thanks mkuu ...kilimo Cha kule haswa maharage na mahindi haya tegemei maji ya kisima maybe ulime nyanya ... maharage miez 3 Yana kuwa tayari kuvunwa ....Kwa ushauri wangu pesa unayo kule uje udalalie mazao mfano mchele kg 50 bei 25000 (elf ishirin na Tano) utalipa buku 3 ya kubebea kwenye punda unapotokea kule boda haifiki.
 
Asante Kwa Ufahamu huo Kiongozi.
Labda Kwakuongezea swali, Ni Mwezi wa Ngapi mazao kama Mpunga na Maharage huanza kutoka shambani?
 
Mkuu mtaji kuanzia kukodi shamba mpaka kuvuna ni wastani wa shingapi na mavuno yapoje?
Niliko Mimi eneo Bure Wana kijiji walitoa kaZ fulan nilikuwa kule wakatoa Bure kokodi elf 50 Kwa heka mavuno wew tu nguvu ka Iko na mvua zime changanya
 
Back
Top Bottom