Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Yeah mkuu huo msiba niliusikia jamaa walipata ajali nadhani ni kuelekea huko lukoma sema sio mwenyeji Sana na Kwa kuwa sikuwafahamu so sikufatilia Sana.
Hao jamaa niliwakuta tulikaa walikuwa fair sana siku wanapta majanga tulikuwa pamoja tuliagana very sad kama naona Leo uko uwanjan hapo unacheki mpira kijij kimetulia
 
Mkuu yaan Mungu akijalia nitakuwa huko mwaka kesho mwanzoni
 
Mkuu hongera sana,nimekufuatilia mguu Kwa mguu.Naomba kuuliza maswali mawili.
1.ulitumia muda Gani Hadi kuuza mazao yako.?
2.Ni mazao Gani mengine ya biashara unayoshauri mtu anaweza kulima katavi mbali na mahindi?
Ahsante

Tumbaku mkuu, ardhi ni nzuri sana,kuni zipo zakutosha.
 
Usafir huu wa punda kukodi 5000 Kwa wote wawil wanaenda kalundu huko Michele kg 50 bei 20000 ila boda hazifiki kalundu mbele ya mwese na lubalis
 

Attachments

  • PXL_20240524_064326260.jpg
    774.7 KB · Views: 19
Embu fanya kuingia pm alafu andika kichwa Cha habari iwe ni namba yako ya simu nikuombe kitu chief ,maana Mimi PM yangu changamoto siwezi kutuma txt Wala kusoma bila kumtumia njia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…