MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Watu tunatafuta wake watakaokuwa wanatupa mizagamuo kila tukihitaji,maana tulio nao Ni wavivu kila ukiomba tu unaambiwa nimechoka,unajikuta unapata Mara Moja kwa wiki,Kuna jamaa huko analalamikiwa eti hataki kula tunda.

Dunia haina usawa kabisa.
ukiambiwa kachoka jua ashapigiliwa miti muda mrefu na ww katatue tatizo lako la kigongewa.
UNACHAPIWA AU HUNA UNALOWEZA KITANDANI
 

adui namba moja wa kukata mzuka wa sex kwa mwanaume, ni harufi ya uchi wa KE, hiyo harufu iko so disgusting, na hapo demu anakua king'ang'anizi mpaka kero

na mwanaume hatosema hata siku moja, maana hata mzuka wa kumchana huna kabisa,
 
Wewe unazungumzia madem uliowaokota huko kwanini wasinuke? Acha kuokota okota hovyo kama utakutana nao wanaonuka.

Ukiwa na mke ananuka utakaa kimya humwambii?
 
adui namba moja wa kukata mzuka wa sex kwa mwanaume, ni harufi ya uchi wa KE, hiyo harufu iko so disgusting, na hapo demu anakua king'ang'anizi mpaka kero

na mwanaume hatosema hata siku moja, maana hata mzuka wa kumchana huna kabisa,
Uwe na mke ananuka husemi miaka nenda rudi utakuwa ni mume kweli wewe?

Na upo nae tu hapo humgusi, si umuache unamfuga wa kazi gani?

Tatizo lenu hamjaoa mnawazungumzia mademu mnao waokota.
 
Uwe na mke ananuka husemi miaka nenda rudi utakuwa ni mume kweli wewe?

Na upo nae tu hapo humgusi, si umuache unamfuga wa kazi gani?

ile harufu kuna namna ina ganda kwenye photographic memory ya Ubongo

mpaka ifutike siyo leo ( miezi kadhaa mbele) , ndipo hamu ya sex inarudi

kumchana mhusika live, hapo sahau ,
 
Mapenz yameisha hapo mama,kusex ni zoez tosha....mwili unapungua wenyewe.Mfano Mimi mvivu wa zoez nikitaka kupungua nahakikisha naliwa daily kupumzika period tu after that napata positive results.Ha haa,ile mikunjo ni balaa
 
Mke wako akiwa na harufu si unamwambia? Kukaa kimya unajenga ama unabomoa?
Angekua ameambiwa anaijua sababu sidhani kama angeleta haya malalamiko mara ya pili sasa.
Bora hata ww unanielewa yani hata Kama ningekuwa nanuka angenambia kukaa kimya ni ujinga uliopitiliza xaxa atakaa kimya mpaka lini na uzuri pia sinuki nawaza isije ikawa ana mwanamke mwingne uko ameenda kunichezea kanitupia ata mnukanuka ukute akiniangalia ananiona tu Kama mavi
 
Yote hayo yanawezekana.
Pambana unavyoona ni sawa...hapa tunakushauri lakini mazingira halisi unayajua wewe.
Kama unaweza kuvumilia vumilia, kama huwezi pia maamuzi unayo wewe
 
Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...

Mkuu Umesahau hii ndio burudisho na Faraja pekee ya stress hasa Kwa sie wa daraja la chini?

Harufu au gubu/manenomaneo yasiyo na msingi vinakata sana hamu. Wakati mtoa hoja anamlaumu Mme wake, azingatie ushauri wako pia.

Mwisho, wanaume tunapenda respect , makelele yasiyo na msingi yanatutoa kwenye mstari. Hata kama amekosea, mweleze Kwa staha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…