MREJESHO: Simuelewi mume wangu

MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Kuna tatizo mahala upande wa jamaa,
Yaani haiwezekani from no where usimguse mke wako na unaulizwa husemi tatizo.

Mtu anuke halafu akusumbue hivyo usimwambie? Haiingii akilinii.

Na wasipo zungumza wanatengeneza tatizo lingine.

Hata hivyo hii ya kunuka Bado ni ubashiri wa watu tu sio tatizo linawakabili Hawa ndugu zetu.

Kitu kimoja hua sifanyi nnapotoa ushauri au maoni Kwa wapendanao, ni kutoa hukumu au hitimisho bila kusikiliza pande zote mbili.

Jamaa anawezakuja kueleza hapa wote tukabaki mdomo wazi. Mambo ya mahusiano magumu sana.

Kwa mfano mtu kama Evelyn Salt unamwambia tu Tena bila kupepesa macho, kwamba Kuna Moja mbili tatu huku unamwangalia usoni lakini unakaa mkao wa Jet Lee maanake anaweza kukurushia chochote kilicho Mkononi au karibu yake.
 
Mabadiriko ya harufu ya K yakitokea muhusika lazima ujue.

Binafsi nina utaratibu kila ninapoamka asubuhi lazima nicheck huku kwa bibi kumeamkaje. Kuna siku nliamka asubuhi kujicheck nakuta ile harufu niloizoea imebadirika. Nilienda hospital chap nikaambiwa nina maambukizi ya bakteri. Nilipewa dawa ile smell ilipotea sijawahi kuihisi hadi leo.

sina usemi hapa
 
adui namba moja wa kukata mzuka wa sex kwa mwanaume, ni harufi ya uchi wa KE, hiyo harufu iko so disgusting, na hapo demu anakua king'ang'anizi mpaka kero

na mwanaume hatosema hata siku moja, maana hata mzuka wa kumchana huna kabisa,
Kwa mke ni lazima umwambie kwa lugha isiyokwaza ili ajirekebishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shoga angu hapo kuna ma3 kama sio ma4
1. Yuko na penzi jipya huko nje na linafanya vizuri kwa sasa
2. Amekukinai (pengine umebweteka, umepoa, mashsham huna tena au udambu udambu hakuna )

3. Ameenza michezo mibaya (kapewa jicho huko nje )
4. Yuko na stress zake(ila sidhani😅😅)
Fanya kuchunguza, mtoto wa kike play smart, badilisha mbinu, au hujui power of P**sy
Ila pia mpe muda


NB: ni kwa uelewa wangu mdogo tu shoga angu me sijaolewa syajui ya ndoani😅😅

Joanah njoo utoe ushauri
Hizo huduma zinapatikana kweli my wangu
 
Wewe unazungumzia madem uliowaokota huko kwanini wasinuke? Acha kuokota okota hovyo kama utakutana nao wanaonuka.

Ukiwa na mke ananuka utakaa kimya humwambii?
Mchepuko namwambia ukweli tu sembuse mke wangu wa ndoa! Ni suala la lugha isiyokwaza kihisia itumike, wanawake wanapenda sana kubembelezwa hasa lonapokuja suala la kutiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema tu usiombe yakukute mpaka nimekuja kuomba ushauri huku ni kwamba naipenda ndoa yangu natafuta amani Kama ningekuwa nataka kuchepuka ningeshachepuka Wala nisingeomba ushauri huyu ni mme wangu wa ndoa hamna kitu kinakera Kama kuhangaika na mtu ambaye hatoi ushirikiano Kama angekuwa na tatzo au Mimi ningekuwa na shida ni vizuri angesema ili tutatue tatzo kwa pamoja Ila yupo kimya haoneshi hata kuwa serious wanati mwingine nawaza labda anafanya makusudi inakera sana kuwaza matatizo ya mtu mzima mimi siyo Mungu mpaka nijue ana shida gani ndomana nimekata tamaa sababu inakera
Vipi matumizi ya mdomo wako, uko vizuri au unaropokwa tu? Mi nahisi kuna kitu alikuwa anakilalamikia huyo bwana ila ukawa unakipuuza.

Mtu hawezi ghafla kukupotezea tu.
 
Unasema tu usiombe yakukute mpaka nimekuja kuomba ushauri huku ni kwamba naipenda ndoa yangu natafuta amani Kama ningekuwa nataka kuchepuka ningeshachepuka Wala nisingeomba ushauri huyu ni mme wangu wa ndoa hamna kitu kinakera Kama kuhangaika na mtu ambaye hatoi ushirikiano Kama angekuwa na tatzo au Mimi ningekuwa na shida ni vizuri angesema ili tutatue tatzo kwa pamoja Ila yupo kimya haoneshi hata kuwa serious wanati mwingine nawaza labda anafanya makusudi inakera sana kuwaza matatizo ya mtu mzima mimi siyo Mungu mpaka nijue ana shida gani ndomana nimekata tamaa sababu inakera
Kwan ndoa ni tendo la ndoa tu?UNAKULA VIZURI,UNALALA VIZURI SHIDA IKO WAPI?!NAAMINI MANENO YA BIBLIA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI ,ANGEKUWA ANAKUFANYA HALAFU NYUMBANI KUNA SHIDA SHIDA LABDA HAMLI VIZURI, WATOTO HAWASOMI ,HAWAPATI MAHITAJI YAO PIA UNGELALAMIKA NYIE NI VIUMBE WA AJABU SANA AISEEEE
 
Back
Top Bottom