Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Kumbe wee mjingaNa kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wee mjingaNa kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Huyo mume mnazagamuana tayari 😂😂😂 ndio maana una uhakika. You are playing it stealth mode ila trust me the moment umeachika hawezi kuendelea kuwa interested na wewe. There's a pleasure in flirting around but not exactly locking up.Sio kweli.
Hao wanaostruggle wana tatizo tena la wazi na hawajijui.
Mimi nikiachika leo kesho kutwa naolewa tena mume nitampa kwenye uzi huu huu.
Kazi itakuwa kuifanya hiyo ndoa idumu.
Ni kweli usemayo lakini naongelea hata kabla sijaolewa. Sijawahi kustruggle kutafuta wa kunioa...Huyo mume mnazagamuana tayari 😂😂😂 ndio maana una uhakika. You are playing it stealth mode ila trust me the moment umeachika hawezi kuendelea kuwa interested na wewe. There's a pleasure in flirting around but not exactly locking up.
Mke wa mtu ni mtamu sababu you only get that sweet spot. All the bitterness and sorrows are left with the man she calls husband.
Sidhani kama mwanamke hajui kama ananuka K unless labda kama hana habari na K yake. Mimi binafsi nikipata UTI dalili ya kwanza huwa najua baada ya K kubadilika harufu hapo nawahi hospitali nitatibiwa na itaisha harufu. So mwanamke kutojua harufu ya K yake huyo ni mchafu na hajijali so hajui mabadiliko ya mwili wake.no offense, ila HAKUNA anayejijua kwamba ananuka K,
Basi una bahati na characters zinakubeba vizuri sokoni. You must be very beautifulNi kweli usemayo lakini naongelea hata kabla sijaolewa. Sijawahi kustruggle kutafuta wa kunioa...
Siwezi kusema mengi hapa lakini najua kabisa nikiachika leo na umri huu nikitaka kuolewa tena nitaolewa, na mtu mpya kabisa ambae nitakutana nae baada yakuachika.
Kupata mume ni vile unavyojiweka.
So mwanamke kutojua harufu ya K yake huyo ni mchafu
Am not beautiful kawaida tu.Basi una bahati na characters zinakubeba vizuri sokoni. You must be very beautiful
Salute kwako "fundi mkuu wangu". Mke na mume ni lazima kupashana ukweliMimi nawashangaa kitu kimoja mkuu.
Harufu
Gubu
Na mengine mengi.
Kweli unashindwa kumwambia?
Mbona mimi huku naambiwa au huyu wa kwangu sio wa dunia hii?
Chochote kile nikimkera ananiambia hata kama ni ukweli mchungu. So najua wapi nirekebishe, au akibadilika naweza nikahisi inawezekana sababu ni kitu flani maana ameshaniambia.
Sisi tunaambiana ukweli mwenzako akinuka unamchana live...kapige mswaki, unanuka jasho na mengine mengi.
Sasa nyie mnashindwa nini? Tusipoambiana mapungufu yetu tutadumu vipi kwenye hizi ndoa?
Kila mtu apige kimya tu tukomoane kwenye kunyimana tendo.
Ni sahihi?
Mmekazania kusema itakuwa ananuka, mimi bado sikubaliani na nyie.
Ukikutwa positive?Mwenyewe hapa nimesafiri nimecheza mechi 2 siziamini,nikifika nampa kibuti wife cha miezi 3 niangalie uelekeo wa afya.
Unatakiwa kumuambia mke wako brother, vinginevyo ndoa yako inatia shakaki-ukweli sitaki unafiki, mimi nipo kwenye viatu vya huyo jamaa
Exactly!Na tupeane makavu ili kuboresha. Kukaa kimya au kutoa sababu zisizoeleweka ni kuharibu kwa makusudi
Naomba namba yako nikupe ushauri wa burePoleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Nakushauri yafuatayo:-Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Ni wajibu wa mume kuhakikisha anapunguza nyeggge za mke wake no matter whatMwisho wake ni kunogewa huko nje maana wanawake wengi wanachepuka na hisia, mwili na akili wanabeba huko, na mwisho kabisa ni kupeana talaka tu.
Kwani ndoa yenu ina umri gani? Mna watoto wangapi? Uchumi wa mumeo ukoje kwa sasa(bahati mbaya huenda hata usijue uchumi wake ukoje), wewe ni miajiriwa, umejiajiri au ni mama wa nyumbani (mama wa nyumbani wengi wana endless nyege as wako idle mda mwingi)
Ndoa ni tendo la ndoa. Ndio maana watu wanaungana kwaajili ya kufanya hilo tendo na kutengeneza familia.Kwan ndoa ni tendo la ndoa tu?UNAKULA VIZURI,UNALALA VIZURI SHIDA IKO WAPI?!NAAMINI MANENO YA BIBLIA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI ,ANGEKUWA ANAKUFANYA HALAFU NYUMBANI KUNA SHIDA SHIDA LABDA HAMLI VIZURI, WATOTO HAWASOMI ,HAWAPATI MAHITAJI YAO PIA UNGELALAMIKA NYIE NI VIUMBE WA AJABU SANA AISEEEE