Uko sahihi kabisa, Tena 100%, Kwa namna yeyote ile, suluhu ya mambo hua ni kuongea ( kuzungumza) hapo Sasa inategemea mmeshibana vipi na mpo huru kiasi Gani kuambiana ukweli na kubwa zaidi huo ukweli mnaambiana vipi.
Of course binafsi tunaambiana sana tu, japo Kuna wakati unaona mtu inaniuma baadhi ya mambo ila inakua umeshasema. Hauwezi kunyamaziana na mkeo au Mme wako kama Kuna tatizo mahali.
Na wanaume Kuna vitu vidogo vidogo sana vinatukata mzuka, Sasa usipokua makini inapelekea kumkinai au kukosa ham kabisa na mwenza wako ( nimependa umesisitiza kwamba haitakiwi kuwa hivyo Kwa Mme na Mke).