MREJESHO: Simuelewi mume wangu

MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Sio kweli.
Hao wanaostruggle wana tatizo tena la wazi na hawajijui.

Mimi nikiachika leo kesho kutwa naolewa tena mume nitampa kwenye uzi huu huu.

Kazi itakuwa kuifanya hiyo ndoa idumu.
Huyo mume mnazagamuana tayari 😂😂😂 ndio maana una uhakika. You are playing it stealth mode ila trust me the moment umeachika hawezi kuendelea kuwa interested na wewe. There's a pleasure in flirting around but not exactly locking up.

Mke wa mtu ni mtamu sababu you only get that sweet spot. All the bitterness and sorrows are left with the man she calls husband.
 
Ni kweli usemayo lakini naongelea hata kabla sijaolewa. Sijawahi kustruggle kutafuta wa kunioa...

Siwezi kusema mengi hapa lakini najua kabisa nikiachika leo na umri huu nikitaka kuolewa tena nitaolewa, na mtu mpya kabisa ambae nitakutana nae baada yakuachika.

Kupata mume ni vile unavyojiweka.
 
Hapo wewe anza kukaa uchi usivae hata chupi ukiwa nae home kaa mikao ya hovyo hovyo kama yupo home siku nzima kaoge nae asioge peke yake siku mbili aspokutomb* tena niite mbwa nimekaa pale [emoji23]
 
Hapo kuna matatu kama sio mànne 1labda kakuchoka hana hisia na wewe anakuona dada akee labda maumbile yako yana harufu anakosa hisia 2labda amepata gono anajiuguza kwanza akipona atachakata 2 au kashanogeshwa huko njee amepewa choo kwako hataki tena
 
no offense, ila HAKUNA anayejijua kwamba ananuka K,
Sidhani kama mwanamke hajui kama ananuka K unless labda kama hana habari na K yake. Mimi binafsi nikipata UTI dalili ya kwanza huwa najua baada ya K kubadilika harufu hapo nawahi hospitali nitatibiwa na itaisha harufu. So mwanamke kutojua harufu ya K yake huyo ni mchafu na hajijali so hajui mabadiliko ya mwili wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli usemayo lakini naongelea hata kabla sijaolewa. Sijawahi kustruggle kutafuta wa kunioa...

Siwezi kusema mengi hapa lakini najua kabisa nikiachika leo na umri huu nikitaka kuolewa tena nitaolewa, na mtu mpya kabisa ambae nitakutana nae baada yakuachika.

Kupata mume ni vile unavyojiweka.
Basi una bahati na characters zinakubeba vizuri sokoni. You must be very beautiful
 
Basi una bahati na characters zinakubeba vizuri sokoni. You must be very beautiful
Am not beautiful kawaida tu.
Lakini muonekano wangu na ongea yangu utaka tu kuniweka ndani🤣🤣, sasa utakayakuta huko baada ya kunioa mi sijui..

Nijisifie tu mimi ni wife material najijua, hata mkibisha shauri lenu..
Ila ni chizi flani hivi😅😅😅
 
Mimi nawashangaa kitu kimoja mkuu.
Harufu
Gubu
Na mengine mengi.

Kweli unashindwa kumwambia?
Mbona mimi huku naambiwa au huyu wa kwangu sio wa dunia hii?

Chochote kile nikimkera ananiambia hata kama ni ukweli mchungu. So najua wapi nirekebishe, au akibadilika naweza nikahisi inawezekana sababu ni kitu flani maana ameshaniambia.

Sisi tunaambiana ukweli mwenzako akinuka unamchana live...kapige mswaki, unanuka jasho na mengine mengi.

Sasa nyie mnashindwa nini? Tusipoambiana mapungufu yetu tutadumu vipi kwenye hizi ndoa?

Kila mtu apige kimya tu tukomoane kwenye kunyimana tendo.
Ni sahihi?

Mmekazania kusema itakuwa ananuka, mimi bado sikubaliani na nyie.
Salute kwako "fundi mkuu wangu". Mke na mume ni lazima kupashana ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.

Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.

Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.

Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Naomba namba yako nikupe ushauri wa bure
 
Nakushauri yafuatayo:-
1. Kwanza lazima ufahamu kuwa ndoa ni n.v ibada na kama ilivyo ibada zingine inaongozwa na subira na kutaraji malipo kwa Mola mlezi kwa kila unalolifanya. Hakuna kitu kibaya kama kuzungumza zaidi na kukosa subira.

2. Wewe unamfahamu zaid mume wako kuliko sisi, nakushauri uoneshe kwa vitendo kuwa unamjali, kumthamini na hicho anachokipitia wala haiwezi sababu ya kuathirika mahusiano yenu.

3. Mpe muda; mfano kama ameteleza ametembea peku na anasubiri 3 months ili apime, Jua kujizuia kufanya sex na mke wake ni guilty na kutaka kuihifadhi familia yake..

4. Tenga muda mzuri wa kuwa naye na kufurahia maisha yenu bila kumuuliza kuhusu hiyo changamoto na sii kumzungumzisha kama yupo kwenye mahojiano na mwandishi wa habari.

Ni hayo tu kwa sasa
 
Mwisho wake ni kunogewa huko nje maana wanawake wengi wanachepuka na hisia, mwili na akili wanabeba huko, na mwisho kabisa ni kupeana talaka tu.

Kwani ndoa yenu ina umri gani? Mna watoto wangapi? Uchumi wa mumeo ukoje kwa sasa(bahati mbaya huenda hata usijue uchumi wake ukoje), wewe ni miajiriwa, umejiajiri au ni mama wa nyumbani (mama wa nyumbani wengi wana endless nyege as wako idle mda mwingi)
Ni wajibu wa mume kuhakikisha anapunguza nyeggge za mke wake no matter what

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan ndoa ni tendo la ndoa tu?UNAKULA VIZURI,UNALALA VIZURI SHIDA IKO WAPI?!NAAMINI MANENO YA BIBLIA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI ,ANGEKUWA ANAKUFANYA HALAFU NYUMBANI KUNA SHIDA SHIDA LABDA HAMLI VIZURI, WATOTO HAWASOMI ,HAWAPATI MAHITAJI YAO PIA UNGELALAMIKA NYIE NI VIUMBE WA AJABU SANA AISEEEE
Ndoa ni tendo la ndoa. Ndio maana watu wanaungana kwaajili ya kufanya hilo tendo na kutengeneza familia.

Ingekuwa ndoa sio tendo ungeona sawa mwenzako akienda kuliwa na mtu mwingine, usingejali kwasababu ndoa sio tendo.

Na kama wewe ni mwanaume rijali na una mke utakubaliana na ukweli kuwa sio rahisi kukaa zaidi ya wiki mbili bila kufanya tendo labda kama una matatizo.

Ndio maana ndoa za kikristu (Catholic), ukioa au ukiolewa na ukakuta mwenzako hana uwezo wa kufanya hilo tendo..ndoa inabatilishwa mara moja bila pingamizi.

Na wenzetu waislam wanaoa mke wa pili kama wa kwanza hawezi kumtimizia ipasavyo.

Hii ndana kuwa ndoa sio tendo la ndoa mnaitoa wapi?
 
Back
Top Bottom