The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kuna tatizo mahala upande wa jamaa,
Yaani haiwezekani from no where usimguse mke wako na unaulizwa husemi tatizo.
Mtu anuke halafu akusumbue hivyo usimwambie? Haiingii akilinii.
Na wasipo zungumza wanatengeneza tatizo lingine.
Hata hivyo hii ya kunuka Bado ni ubashiri wa watu tu sio tatizo linawakabili Hawa ndugu zetu.
Kitu kimoja hua sifanyi nnapotoa ushauri au maoni Kwa wapendanao, ni kutoa hukumu au hitimisho bila kusikiliza pande zote mbili.
Jamaa anawezakuja kueleza hapa wote tukabaki mdomo wazi. Mambo ya mahusiano magumu sana.
Kwa mfano mtu kama Evelyn Salt unamwambia tu Tena bila kupepesa macho, kwamba Kuna Moja mbili tatu huku unamwangalia usoni lakini unakaa mkao wa Jet Lee maanake anaweza kukurushia chochote kilicho Mkononi au karibu yake.