MREJESHO: Simuelewi mume wangu

MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Mawazo yote waliyocoment wadau yanaweza kuwa sahihi ila Mimi nakuja kinyume.@miss chuga hivi huwezi fikiri labda mumeo amegundua anaumwa maradhi fulani hivyo anakwepa kukutomb* ili asije kukuambukiza.

Hebu jaribu kufikiri sawasawa bila kuongozwa na mihemuko ya wivu na dududu.
Inawezekana unachosema ni kweli hata na Mimi Kuna wakati nawaza hivyo Ila Kama ni hivyo Mimi ni mke wake kwanini asinishirikishe ili tutatue tatizo kwa pamoja haoni sasa ukimya wake unanitesa mpaka nishapata msongo wa mawazo
 
Mawazo yote waliyocoment wadau yanaweza kuwa sahihi ila Mimi nakuja kinyume.@miss chuga hivi huwezi fikiri labda mumeo amegundua anaumwa maradhi fulani hivyo anakwepa kukutomb* ili asije kukuambukiza.

Hebu jaribu kufikiri sawasawa bila kuongozwa na mihemuko ya wivu na dududu.
Ebu nisaidie Kama unachosema ni kweli inaweza ikawa ni Kama magonjwa gani maana nawaza Kama ni ukimwi kwahiyo atanizungusha maisha yote au ni hivi vi magonjwa vya mda mfupi naomba nisaidie hapa kunipa mawazo akili yangu ishachoka
 
Poleni na majukumu, wiki Kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa. nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki sana.

Mrejesho upo hivi baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni Nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri Kama mwanzo, kiukweli bado sijaridhika na hili jibu naona Kama ni usanii vile hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake naona tu Kama mapicha picha bado yanaendelea.

Naombeni mnisaidie vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake
Njoo PM......inawezekana mumeo ni mtoto WA mwisho kwao yaani junior
 
Sidhani kama ni kweli, lbd ungesema "anatii masharti ya mganga wa kienyeji" hapo ningekubali.
Na Mimi leo nimewaza kitu Kama hiki Kuna uwezekano akawa ameanza mambo ya kishirikina maana hayo mambo ya kuniambia yupo kwenye doz na mashaka nayo dozi gani ambazo mtu unanyimwa kufanya mapenzi na mkeo
 
Yaani hapo hapo!

Biblia inasisitiza "msinyimane...." halafu anakunyima Karogwa huyo kabisa, wahi kwa mtumishi umkomboe mumeo
 
Kuna stry stry jamaa alikosea masharti ya mganga akaambiwa hakuna kulala na mkeo miez 6 jamaa alichofanya alimwambia mke wake, , , ww muulize huenda kakosea masharti ya mganda kafara yake kutoshiriki kitendo cha ndoa kwa muda fulan

Kwajinsi ambavyo hata hataki nimguse sasa Mimi nitajuaje Kama hiyo mashine inasimama
 
Sina harufu Wala tatizo lolote nipo tu vizuri alafu pia hanaga kinyaa maana kipindi tunafanya kuwa alikuwa anapiga deki kila sehemu Mimi kilichobaki sahivi nahisi tu Kuna mtu kamloga maana nishajikatia tamaa
Aisee pole sana, jaribu pia kua unamshawishi mara kwa mara
 
Back
Top Bottom