House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Nilishawahi kipindi kimoja kutumia PEP, nikiamua kusafiri kipindi chote hicho 28 days. Shida yangu ilikuwa hivi, itawezekanaje kutumia mpira kwa mrs???? Nitampa sababu ipi??? So nikaona isiwe tabu, nikamuaga naenda safari, kweli nilitoka kanda ya ziwa nikaend Mkulanga, baadae huyo Mpanda..siku zikaisha, nikatiq timu home.Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Pia soma: USHAURI: Simuelewi mume wangu
Inawezekana hili pia limemfika mmeo, huwezi jua..