Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Huu mchanganyiko unachemshwa au vipi [ maana isipochemshwa maziwa yataharibika mapema]
Kinachochemshwa ni maziwa tu,yakishapoa unayatumia badala ya maji wakati wa kusaga juice. Vingine vyote vinakuwa vibichi na juice hiyo nikishaitengeneza tu nainywa pasipo kuiweka kwenye jokofu.
 
Hiyo juice ya almost vikombe viwili unainywa asubuhi na jioni (asubuhi kikombe kimoja halafu unamalizia jioni) au unakunywa kwa vijiko
 
Hiyo juice ya almost vikombe viwili unainywa asubuhi na jioni (asubuhi kikombe kimoja halafu unamalizia jioni) au unakunywa kwa vijiko
Hiyo nainywa maramoja tu kisha jioni natengeneza nyingine.
 
[emoji22]mimi nguvu sizitaki kabisa.
natamani nisiwe nazo kabisa niwe kama gogo[emoji22]
 
Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Wadau leo ni siku ya 5 tangu nichukue hizo hatua 4 za hapo juu naam, nguvu za kike zimerudi vibaya mno, hamu ya kufanya mapenzi ambayo ilipotea kwa miaka 3 imerudi. Wadau nawashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia moyo,hakika nimefurahi sana kwani nimeteseka kwa hii hali kwa muda mrefu.

Kwa namna ya pekee nawashukuru sana wadau hawa FaizaFoxy, luse, valuablecock, Kiyawi, Tarakilishi, Raphael wa Ureno, @kulubuke, Lovery, muggyen, Lady peace, manyusi, Ngozi Joram, Mentor, Sonko Jr. na wengineo wote mlioguswa na tatizo langu kwa namna moja ama nyingine.
nifafanulie hivyo vitu dada, na pia, kiwango gani unaweka just kumsaidia mama watoto. akitokaga kujifungua anapata hilo tatizo.
  1. tende (nazijua na zipo nyingi)
  2. lozi, (hiki ni kitu gani, sijawahi sikia wala kukiona)
  3. mdalasini, (hiki ni kitu gani?)
  4. zabibu kavu, (kavu zinapatikana wapi)
  5. kitunguu maji,
  6. kitunguu saumu,
  7. kokwa la parachichi,
  8. tangawizi,
  9. asali mbichi na
  10. maziwa fresh pasipo kutia hata tone la maji
 
Vipi tetele (Mbegu kavu za maboga) baada ya kuzipitisha kikaangoni kidogo ulijaribu kula Kama tunavyokula karanga? Maana nazo majibu ni mubashara kwa muda mfupi
 
Vipi tetele (Mbegu kavu za maboga) baada ya kuzipitisha kikaangoni kidogo ulijaribu kula Kama tunavyokula karanga? Maana nazo majibu ni mubashara kwa muda mfupi
Yap hizo pia huwa natafuna!
 
basi tu sizitaki.. nna mambo mengi yananivuruga
Usiruhusu mambo yatakayo haribu asili yako mamy, maana ipo siku utajikuta unatumia gharama kubwa kuitafuta furaha yako. Maisha haya ni mafupi mno jipe raha,furahia kila sekunde unayoishi hapa duniani. Anyway pole kwa kuvurugwa.
 
nifafanulie hivyo vitu dada, na pia, kiwango gani unaweka just kumsaidia mama watoto. akitokaga kujifungua anapata hilo tatizo.
  1. tende (nazijua na zipo nyingi)
  2. lozi, (hiki ni kitu gani, sijawahi sikia wala kukiona)
  3. mdalasini, (hiki ni kitu gani?)
  4. zabibu kavu, (kavu zinapatikana wapi)
  5. kitunguu maji,
  6. kitunguu saumu,
  7. kokwa la parachichi,
  8. tangawizi,
  9. asali mbichi na
  10. maziwa fresh pasipo kutia hata tone la maji
Kama uko Dar es salaam vitu vyote hivyo isipokuwa maziwa fresh na kokwa la parachichi vinapatikana kariakoo kwenye duka moja hivi lililopo mkabala na soko la kariakoo linauza viungo vya pilau.

Hatahivyo sishauri mama mjamzito au anayenyonyesha kutumia juice hiyo maana inavuruga tumbo na kusababisha kuharisha.
 
Usiruhusu mambo yatakayo haribu asili yako mamy, maana ipo siku utajikuta unatumia gharama kubwa kuitafuta furaha yako. Maisha haya ni mafupi mno jipe raha,furahia kila sekunde unayoishi hapa duniani. Anyway pole kwa kuvurugwa.
asantee
 
Back
Top Bottom