Ntigy
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 489
- 267
- Thread starter
- #61
Kinachochemshwa ni maziwa tu,yakishapoa unayatumia badala ya maji wakati wa kusaga juice. Vingine vyote vinakuwa vibichi na juice hiyo nikishaitengeneza tu nainywa pasipo kuiweka kwenye jokofu.Huu mchanganyiko unachemshwa au vipi [ maana isipochemshwa maziwa yataharibika mapema]