Mbona marafiki zetu wa kariibu tunaojua physical address zao nao wanatutapeli kama kawaida. Je, tutachomokea wapi ?Mkuu umechelewa sana kujua.
Unatumaje hela kwa mtu ambae physical verification yake huijui?
Mbona marafiki zetu wa kariibu tunaojua physical address zao nao wanatutapeli kama kawaida. Je, tutachomokea wapi ?Mkuu umechelewa sana kujua.
Unatumaje hela kwa mtu ambae physical verification yake huijui?
Au kahonga , mrembo hakutokea?Anaogopa atakuja kumvamia 😂
Kwanini unaficha I'd yake ya humu JF au wewe ndo tapeli mwenyewe?Natumai wote mko salama.
Napenda kushiriki kwa uchungu na tahadhari kuhusu tukio lililonikumba hivi karibuni kupitia jukwaa hili. Niliingia mawasiliano na mmoja wa wanachama humu ambaye aliniahidi kutuma game pamoja na simu Tulizungumza kwa muda, akanivuta kwa uaminifu na hatimaye nikatuma kiasi cha pesa shilingi laki tatu sitini.
Baada ya hapo – mawasiliano yakakatika. Hajawahi kujibu tena, na kila dalili zinaonesha kuwa ilikuwa ni njama ya kitapeli.
Ninachotaka kufikisha hapa ni tahadhari kwa wanajamii wengine:
Nimesikitishwa sana kwa kuwa nilikuwa na imani kuwa JamiiForums ni jukwaa salama kwa mijadala na hata biashara, lakini tukio hili limenifungua macho. Natarajia uongozi wa JF wataendelea kuweka mazingira salama kwa wote.
- Jihadharini kabla ya kutuma fedha kwa mtu yeyote mtandaoni.
- Hakikisheni mna uthibitisho wa kutosha kuhusu mtu, huduma, au bidhaa kabla ya kufanya miamala.
- Kama kuna wasiwasi wowote – ni bora kuuliza kwanza hapa JF au kufanya utafiti wa kina.
Nawashukuru kwa kunisoma – na naomba ujumbe huu uwafikie wengi ili wengine wasije wakakumbwa na hali kama yangu.
View attachment 3357376View attachment 3357377
Mimi nishatapeliwa na mtoto wa shangazi yangu. Je nayo tumweke kundi Gani?Pole sana kwa kutuma pesa kwa mtu uliyekutana nae mitandaoni.
Mda mwingine sio kutapeliwa , unakuta kweli mtu hana namna ya kurudisha na anayo shida kinouma🤣🤣Mimi nishatapeliwa na mtoto wa shangazi yangu. Je nayo tumweke kundi Gani?
Hapana sisi tuna hofu ya MUNGU Mbona unalipa na unapewa mali yako.Pili biashara za online mara nyingi unalipa ukishapata kitu ulichokitaka otherwise ukilipa kabla lazima wakunyooshe.
Acha tu sisIla watu mnajiweza aisee unatuma kabisa pesa kwa mtu humjui, mimi hata buku situmiiii yaani kweli kila mtu yupo tofauti
Mhmm kwani mikoani hakuna maduka ya bidhaa mpaka ununue online?Acha tu sis
sie wa mikoan hatuna other option zaidi ya kununua online nadhan siku yake ilifika
Ni vyema akasema mkuu kuwa ndg yangu nipo vibaya kabisa nisamehe tu sikukusudia huo ndo uungwana tofauti na hapo utahesabika wewe ni tapeli tuMda mwingine sio kutapeliwa , unakuta kweli mtu hana namna ya kurudisha na anayo shida kinouma🤣🤣
KabisaNi vyema akasema mkuu kuwa ndg yangu nipo vibaya kabisa nisamehe tu sikukusudia huo ndo uungwana tofauti na hapo utahesabika wewe ni tapeli tu
Yapo but wanabei sana and havina qualityMhmm kwani mikoani hakuna maduka ya bidhaa mpaka ununue online?