Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

Hapa tunauza beer , wine, vodka za aina mbalimbali.

Local beer zote tunazo .

Tuna Kvant ,Konyagi ,Hanson'schoice , etc
Tuna smirnof ice &vodka
Tuna Hennessy,Jagermaster ,Jack Daniel, Jameson ,Four cousin ,Captain Morgan,

Dodoma wine , Amarula,dompo ,

Kwa kifupi ukitoa visungura na wenzake double kick nk karibia kila pombe tunayo.
 
Wengine wanafuata umbea hapo
Ovyoo, umbea wa nini sasa we fala, kuungana mkono ni jambo la kawaida kwako na hata kwa yeyote yule, ukija hapa jukwaani tutapeana support kama wana JF, kuhusu umbea, labda nyie washamba msiojulikana mje kisirisiri, na kwa taarifa yenu maana mnafuatilia hii (Thread) sisi tutakuja kikamilifu mjipange maboya nyie.
 
🙏
 
Back
Top Bottom