username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
- #81
Kama ipi mkuu?Vipi ofa kwa wanajf zipo?
Ofa ambayo mara moja moja tunatoa ni nyama choma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ipi mkuu?Vipi ofa kwa wanajf zipo?
Sio mbaya mzee babaKama ipi mkuu?
Ofa ambayo mara moja moja tunatoa ni nyama choma.
ndio mkuuSio mbaya mzee baba
Wahudumu vipi wanaita?
duh 😂😂😂😂😂😂😂Wahudumu sio mbaya niliona ni wanatazamika
Locationndio mkuu
kinyerezi mahakamani road/mnadani.Location
Karibu sana.Vizuri kupeana support.
karibu sana jumapili hii.Ngoja siku ibilisi anijae kichwani, nije karaoke yako niombe maiki nichame ngoma za 2pac kama 10 hivi.
karibu
Zingatia sana jambo la kupin Location. Inasaidia sana.Hapapotezi mkuu ,ukifika kinyerezi mnadani/mahakamani uliza Runway Pub au uliza Ikupa Bakery
0757720362 unaweza ukanipigia pia
karibu sana.jumamosi nitakuwepo hapo hua napendelea pepsi iliyoganda na nyama choma
sawa mkuuZingatia sana jambo la kupin Location. Inasaidia sana.