Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.

Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.

Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana .

Utumieni vizuri huu mtandao ni wa muhimu sana .

View attachment 3099357

View attachment 3099359

Pia bila kusahau kila jumapili tuna karaoke kutoka kwa King of Karaoke Allen Soul. Huyu Allen Soul ndiye muafrica pekee aliyechaguliwa kushiriki mashindano ya Karaoke duniani yatakayofanyika America.
View attachment 3099361
Hongera sana mkuu

Hivi mtaji kiasi gani inatosha uwekezaji kama huu
 
Back
Top Bottom