username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
-
- #121
Niko mtwara siku nikija dar nitaendandege JOHN sijakuona
KaribuNiko mtwara siku nikija dar nitaenda
Kuna ambao wananipigia simu au Whatsapp niwaelekeze vizuri .Sawa,ila bado sijaelewa kajuaje wana jf kuacha 30-50 ni kawaida je tukifuka pale tutatakiwa kujitambulisha😁😁?
Jumamosi kabla ya kurudi Dodoma lazima nije....Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana .
Utumieni vizuri huu mtandao ni wa muhimu sana .
View attachment 3099357
View attachment 3099359
Pia bila kusahau kila jumapili tuna karaoke kutoka kwa King of Karaoke Allen Soul. Huyu Allen Soul ndiye muafrica pekee aliyechaguliwa kushiriki mashindano ya Karaoke duniani yatakayofanyika America.
View attachment 3099361
Karibu sana.Jumamosi kabla ya kurudi Dodoma lazima nije....
Ni pazuri sana juzi nilikuja hapo nikanywa nikala na kampani yangu.. Huduma pia tuliifurahia🙏🏿 keep it up!!!Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana .
Utumieni vizuri huu mtandao ni wa muhimu sana .
View attachment 3099357
View attachment 3099359
Pia bila kusahau kila jumapili tuna karaoke kutoka kwa King of Karaoke Allen Soul. Huyu Allen Soul ndiye muafrica pekee aliyechaguliwa kushiriki mashindano ya Karaoke duniani yatakayofanyika America.
View attachment 3099361
Oooh shukrani sana mkuu.Ni pazuri sana juzi nilikuja hapo nikanywa nikala na kampani yangu.. Huduma pia tuliifurahia🙏🏿 keep it up!!!
Mje na Preta mtanikuta.Jumamosi kabla ya kurudi Dodoma lazima nije....
WapoKuna watoto wakali? Maana nikilewa nalazima nichukue mmoja.
Tunaanza hapa kula vibe mida ya saa sita /saba usiku mnaibuka hukoThe great,Small Planet,Center point, Kb,New hiybury,kitambaa cheupe etc
YeahTunaanza hapa kula vibe mida ya saa sita /saba usiku mnaibuka huko
Yani hata ukitaka nikuagizie wengine waje kukupa kampani inawezekana piaKuna watoto wakali? Maana nikilewa nalazima nichukue mmoja.
Tukutane Jmosi hapo , Wana JF kama woteYeah
Mnaanza saa ngapiTukutane Jmosi hapo , Wana JF kama wote
Kuanzia jioni itapendeza zaidi japo ukija hata saa 5 huduma utazikuta.Mnaanza saa ngapi
Nakubali man, nije na pisi au nitakuta huko huko?Tunaanza hapa kula vibe mida ya saa sita /saba usiku mnaibuka huko