username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
- #141
hakikaJf ni zaidi ya platforms nyingine, Mike na mwenzake waliona mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakikaJf ni zaidi ya platforms nyingine, Mike na mwenzake waliona mbali
Waqyuba tumekuelewaUkiwa dar hakuna sehemu yoyote ukahitaji pisi ukakosa,,, ni suala tu la wewe umejipangaje.
Sawa boss.Mje na Preta mtanikuta.
Sawa mkuu, nakuja....napenda sana kuwapa support wanajamii wenzangu.Karibu sana.
Ukifika kinyerezi mahakamani au mnadani uliza Ikupa bakery, itakuwa rahisi zaidi kufika
Karibu sanaSawa mkuu, nakuja....napenda sana kuwapa support wanajamii wenzangu.
🙏
🤔Sawa mkuu, nakuja....napenda sana kuwapa support wanajamii wenzangu.
🙏
🤔Jumamosi kabla ya kurudi Dodoma lazima nije....
nilipakosa nikaishia Kazimoto pork park....Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana .
Utumieni vizuri huu mtandao ni wa muhimu sana .
View attachment 3099357
View attachment 3099359
Pia bila kusahau kila jumapili tuna karaoke kutoka kwa King of Karaoke Allen Soul. Huyu Allen Soul ndiye muafrica pekee aliyechaguliwa kushiriki mashindano ya Karaoke duniani yatakayofanyika America.
View attachment 3099361
Hongera ila niliuliza mtaji wa kuanzisha pub kama hiyo ilikukost tsh. Ngapi? Bado nasubili jibu.Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana .
Utumieni vizuri huu mtandao ni wa muhimu sana .
View attachment 3099357
View attachment 3099359
Pia bila kusahau kila jumapili tuna karaoke kutoka kwa King of Karaoke Allen Soul. Huyu Allen Soul ndiye muafrica pekee aliyechaguliwa kushiriki mashindano ya Karaoke duniani yatakayofanyika America.
View attachment 3099361
Karibu sanaDaaah Kila nikitaka kuokoka nakumbuka jamaa yangu naww umefungua pub 🍻 🍻 Sina budi kuja kushusha vitu hapo.
Hongera sana mpambanaji
Ukifika kinyerezi mahakamani ulizia Ikupa Bakerynilipakosa nikaishia Kazimoto pork park....
Soft drinks zipo ,naomba uje unichangieNimeacha ulevi
Ntafika mkuuSoft drinks zipo ,naomba uje unichangie