Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

Binafsi sihitaji pesa ya mazingaombwe....ila nahitaji zindiko la kuzuia wizi wa mali zangu, au dawa ya kuwanasa wezi....kma kuna mtu mwenye connection ya uhakika yaani mtaalamu anayeweza kunisaidia kuzuia kuibiwa anisaidie
 
Mkuu naomba naomba yako
 
Mnakimbilia kwa waganga masharti mnayaweza unajua unaweza pata mganga mzuri tu ila unavyojieleza akakuona ww chenga akaamua akupige za kichwa ndipo unaona mganga tapeli na kiufupi watu wengi hawaziwezi gharama ndio maana unashauriwa tafuta hela au biashara ndipo utafute mganga akoleze biashara yako mbali na hapo mkono mtupu haulambwi
 
Nakuja pm
 
Huyu mwamba nilishampa connection ya mganga wa moto akashindwa kujielezea anatetemeka tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Labda useme unataka pesa za majini lakini hizi za waganga huziwezi maana hujui nn cha kufanya kwa wakati gani
Mkuu naomba namba Yako tafadhali Nina shida nayo
 

Wewe ulimtumia huyo mganga ukafanikiwa?
Kama una mafanikio kwa nini udemand 5000 kwa ajili ya hiyo connection ama ndio masharti uliyopewa?
 
Mafanikio yapo mbali sana uwa nawaza sana utaskia mtu amenunua Nyumba milion mia 300 wenzetu wanapataje mamilion hayo ya pesaa.au wanapambana dunia.Gani?
[emoji16][emoji16][emoji16]kua uyaone
 

Noma sana
 
Ubaya wa mambo haya matapeli ni wengi usipime....
Niliwahi kupigwa na mganga aitwaye BADAWI huyu bwana nitapeli hasa.
Yuko sana huko You tube analandalanda huko akitafuta watu wa kuwatapeli.Kifupi waganga wa kweli ni shida kuwapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…