Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mahaba yalikuwa so pure so true afu mnaweza msipigane hata mabusu mpaka mnaachana!
Yani unapokea kadi tumbo la chini unapata butterflies!
Roho inaenda mbiiio
Unanikumbusha Karimu mpaka tunapotezana advance hata mabusu hakuna ha ha ha ha halafu classmates mpaka leo hawaaminigi jamani mwe mwe mwe ila sahivi mhhh majanga tu unakutana na matapeli mpaka ukitoka kuonana nae unajicheka,
cc imfikie odo snowhite
 
Unaamua ujianzishie uzi tu[emoji12]
 
Unanikumbusha Karimu mpaka tunapotezana advance hata mabusu hakuna ha ha ha ha halafu classmates mpaka leo hawaaminigi jamani mwe mwe mwe ila sahivi mhhh majanga tu unakutana na matapeli mpaka ukitoka kuonana nae unajicheka,
cc imfikie odo snowhite
Usinikumbushe sana naweza kuliaaa
 
mimi huwa naanza kumjudge mtu anavyoandika jukwaani kwahiyo akija pm namuona yule yule tu. Na hata kwa kuangalia tu wanaoandika jukwaani madudu hata wakija pm baadae huwa wanayarudisha ya pm jukwaani.
upo sahihi kuna drama ilitokea juzi humu inanihusu mie demiss na shunnie nikawaza ina maana ningeendekeza tu na mie ningeanikwa kwa kweli pm huwa najibu mara 2 nkichat na wewe mda mrefu sana nimekusoma na ninakuheshimu kuna mijitu mitindiga sana humu yaani
 
Nimmkumbuka mtu mmoja anataka kuchat huku anasema wadada w jf mnajidai sana mpo juu kila mtu mwananume wake ana hela mna maisha mazuri sisi wengine hatuwawezi yet kila siku unachat nae unajitahidi kumuweka sawa asijiskie mnyonge ila anakuprovoke mpaka unaona hii sasa kero au analeta kaunafiki fulani hivi unataka mchat hata stori ila killa saa kusema wadada wa jf fyokofyoko mimi kama dada wa jf nitajiskiaje aaaaaa
 
'Mijitu mitindiga' Kilosa kuna kijiji nilifika kinaitwa Tindiga,karibu na Mikumi
 
Niliipata hiyo habari ndg yangu mzigua alinitumia huko pm mm kwanza hata situmii sasa mtu anaweka thread yake labda alinijia ndotoni ndio mambo ya jf hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…