Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mahaba yalikuwa so pure so true afu mnaweza msipigane hata mabusu mpaka mnaachana!
Yani unapokea kadi tumbo la chini unapata butterflies!
Roho inaenda mbiiio
Unanikumbusha Karimu mpaka tunapotezana advance hata mabusu hakuna ha ha ha ha halafu classmates mpaka leo hawaaminigi jamani mwe mwe mwe ila sahivi mhhh majanga tu unakutana na matapeli mpaka ukitoka kuonana nae unajicheka,
cc imfikie odo snowhite
 
Sijawahi kufika huko sijui zaidi yanayoandikwa ila nahisi wanatoana huko huko kulingana na mada za huko,

Lakini mtu haiwezekani ukaanzisha uzi mf; wadada wa jf wabaya, mara sijui wadada wa jf maharage ya mbeya, zikiwa nyuzi za kuwaponda wanawake wewe ndio kinara unapoooonda mpaka unasahau kama ulizaliwa na mwanamke halafu hapo unamfata mwanamke PM akishasoma unayochangia jukwaan ndio hayo unahisi atakukubali kweli??

Vaa viatu vyake.
Unaamua ujianzishie uzi tu[emoji12]
 
Unanikumbusha Karimu mpaka tunapotezana advance hata mabusu hakuna ha ha ha ha halafu classmates mpaka leo hawaaminigi jamani mwe mwe mwe ila sahivi mhhh majanga tu unakutana na matapeli mpaka ukitoka kuonana nae unajicheka,
cc imfikie odo snowhite
Usinikumbushe sana naweza kuliaaa
 
mimi huwa naanza kumjudge mtu anavyoandika jukwaani kwahiyo akija pm namuona yule yule tu. Na hata kwa kuangalia tu wanaoandika jukwaani madudu hata wakija pm baadae huwa wanayarudisha ya pm jukwaani.
upo sahihi kuna drama ilitokea juzi humu inanihusu mie demiss na shunnie nikawaza ina maana ningeendekeza tu na mie ningeanikwa kwa kweli pm huwa najibu mara 2 nkichat na wewe mda mrefu sana nimekusoma na ninakuheshimu kuna mijitu mitindiga sana humu yaani
 
Naam, kama anaongea pumba jukwaan lazima tu hata private awe yule yule na sio private hata maisha yake halisi anavyoishi lazima ndio yawe ya hivyo hivyo, wachache sana wanaoweza kuishi maisha ya aina mbili yaan kwenye mtandao akawa rude lakini kwenye maisha halisi akawa polite.
Wachache sana.
Nimmkumbuka mtu mmoja anataka kuchat huku anasema wadada w jf mnajidai sana mpo juu kila mtu mwananume wake ana hela mna maisha mazuri sisi wengine hatuwawezi yet kila siku unachat nae unajitahidi kumuweka sawa asijiskie mnyonge ila anakuprovoke mpaka unaona hii sasa kero au analeta kaunafiki fulani hivi unataka mchat hata stori ila killa saa kusema wadada wa jf fyokofyoko mimi kama dada wa jf nitajiskiaje aaaaaa
 
upo sahihi kuna drama ilitokea juzi humu inanihusu mie demiss na shunnie nikawaza ina maana ningeendekeza tu na mie ningeanikwa kwa kweli pm huwa najibu mara 2 nkichat na wewe mda mrefu sana nimekusoma na ninakuheshimu kuna mijitu mitindiga sana humu yaani
'Mijitu mitindiga' Kilosa kuna kijiji nilifika kinaitwa Tindiga,karibu na Mikumi
 
Niliipata hiyo habari ndg yangu mzigua alinitumia huko pm mm kwanza hata situmii sasa mtu anaweka thread yake labda alinijia ndotoni ndio mambo ya jf hayo

Back
Top Bottom