AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,142
Mbona huwa mnasema watu wasijudge maandishi?mimi huwa naanza kumjudge mtu anavyoandika jukwaani kwahiyo akija pm namuona yule yule tu. Na hata kwa kuangalia tu wanaoandika jukwaani madudu hata wakija pm baadae huwa wanayarudisha ya pm jukwaani.