Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

Nilikuwa nataka kujua kama ni kweli. Ila hi kitu ni strange sana na nahisi inahusisha nguvu za giza maana hata mwanamke unayemuona sio wa kawaida na mwili unahisi wa baridii na kama ganzi inakushika. Halafu kuna vipele vya baridi vile vinatokea. Ila mwanamke kutokea anatokea ila sio wa kawaida kwa kweli.
Jirani kwahiyo ulie muona kwenye kioo ndo mke wako? Kama ukikutana nae live kesho utamkumbuka?
 
Nilikuwa nataka kujua kama ni kweli. Ila hi kitu ni strange sana na nahisi inahusisha nguvu za giza maana hata mwanamke unayemuona sio wa kawaida na mwili unahisi wa baridii na kama ganzi inakushika. Halafu kuna vipele vya baridi vile vinatokea. Ila mwanamke kutokea anatokea ila sio wa kawaida kwa kweli.
Jiandae kupambana nae, ndio ushapata chombo, usiku utashangaa ukilala unakula mzigo bila ndom.. umeisha anzisha vita muraaa
 
Mimi nilikosa uaridi nikaamua nitumie maua ya alizeti na tufani pia kwakua sijui ni tunda gani nikaamua nitumie mapera, ghetto huwa sina kioo natumiaga kioo cha dirisha ila hadi nitoke kwa nje ndo najiona kwa ndani huwa sijioni usiku nikaamua kwenda kufanya hilo zoezi kwa nje alafu ni nyumba ya wapangaji, baada ya kuwasha mishumaa na kuvaa kaniki huku natafuna pera ilikua ni kwenye dirisha la jirani nilichoona ni dirisha linafunguliwa na kuskia sauti ya mwanamke anapiga kelele

Ghafla watu wakanizunguka walikua ni watu kama watano wawili wameshika rungu mmoja kashika tochi alafu wanaulizana kwa kusema huyu si ni lucha? Kabla sijajibu nilihisi Kuna kitu kizito kimetua kichwani nikaona giza sikuskia sauti ya watu tena nikaja kushtuka ndugu zangu wamenizunguka nipo hospital na kwenye ile nyumba walihamisha vyombo vyangu vyote kabla sijashtuka wakavirudisha nyumbani.

Sasa sijui nilipigana na mashemeji kabla sijamuona mchumba au kilitokea nini
 
hio ulichoona hebu google kitu kinaitwa blood mary hii ni kwa msaada wa wikipedia

Bloody Mary is a legend of a ghost, phantom, or spirit conjured to reveal the future. She is said to appear in a mirror when her name is chanted repeatedly. The Bloody Mary apparition may be benign or malevolent, depending on historic variations of the legend. Bloody Mary appearances are mostly witnessed in group participation play.
 
Back
Top Bottom