Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

KITU umeletewa huelewi precepts behind uje useme kawaida, kibaya vitu hvyo vinalenga spiritual world.... Ndio uvichukulie kwa udogo sio.
Hakuna kitu ambacho haujaletewa mkuu , ila meditation unaingia tu ndani yako wewe mwenyewe, nafanya mwaka wa 10 sasa.
 
niliwahi kuambiwa juu ya hio na mwisho wake hua sio mzuri, ulifanya for fun without knowing the outcomes??? next time jaribu kujua hasara na faida la jambo lenyewe kisha pima mwenyewe kipi kinafaa baada ya kujua ndio ufanye mkuu
 
Mwisho kivipi mkuu tafadhali sana nifafanulie!
 
Mwisho kivipi mkuu tafadhali sana nifafanulie!
Historically, the divination ritual encouraged young women to walk up a flight of stairs backward holding a candle and a hand mirror, in a darkened house. As they gazed into the mirror, they were supposed to be able to catch a view of their future husband's face.[1] There was, however, a chance that they would see a skull (or the face of the Grim Reaper) instead, indicating that they were going to die before they would have the chance to marry.[1][2]

In the ritual of today, Bloody Mary allegedly appears to individuals or groups who ritualistically invoke her name in an act of catoptromancy. This is done by repeatedly chanting her name into a mirror placed in a dimly-lit or candle-lit room. The name must be uttered thirteen times (or some other specified number of times).[3] The Bloody Mary apparition allegedly appears as a corpse, witch, or ghost that can be friendly or evil, and is sometimes seen covered in blood (hence the name). The lore surrounding the ritual states that participants may endure the apparition screaming at them, cursing them, strangling them, stealing their soul, drinking their blood,[4] or scratching their eyes out.[5] Some variations of the ritual call Bloody Mary by a different name—"Hell Mary" and "Mary Worth" are popular examples.[3] The modern legend of Hanako-san in Japan strongly parallels the Bloody Mary mythology.[6]
 
Ebu nishushie hiyo makala niisome hapa nimeanza kuhisi kitu. Madame S
mkuu, mie kuna kipindi chanyuma sana sana niliwah kuisoma hii mahali sikumbuki kwenye website gani nimegugo ndio nimeona wikipedia, nikampm member mkongwe sana humu kumuulizia hio ishu alinambia kua sio nzuri mana mwisho wa siku unaweza kufa ndio nilipofunga huo mjadala sasa najaribu kutafta pms tulizokua tukicha nikiipata nitakutumia
 
indicating that they were going to die before they would have the chance to marry.[1][2
😳 Inaonekana we ni mtaalam sana na uko sahihi ndio maana nilisema huyo mwanamke unayemuona kwenye kioo sio wa kawaida na hawezi kupatikana hapa duniani!
 
😳 Inaonekana we ni mtaalam sana na uko sahihi ndio maana nilisema huyo mwanamke unayemuona kwenye kioo sio wa kawaida na hawezi kupatikana hapa duniani!
ulichokifanya wewe na ninachojua naona viko tofauti yangu unatakiwa umtaje huyo bibie na atatokea kwenye kioo then utaona sura ya mpendwa wako japo mwisho hua s mzuri hiki ndio najua
 
ulichokifanya wewe na ninachojua naona viko tofauti yangu unatakiwa umtaje huyo bibie na atatokea kwenye kioo then utaona sura ya mpendwa wako japo mwisho hua s mzuri hiki ndio najua
Hii hutaji jina nimejaribu baada ya kuuona uzi ukisema, nikafata maelekezo. Ila ni mauza uza na nimepata hasara ya kioo maana kilipasuka. Na mwanamke kutokea anatokea ila sura yake haieleweki eleweki sijui nipanick au.
 
Hakuna kitu ambacho haujaletewa mkuu , ila meditation unaingia tu ndani yako wewe mwenyewe, nafanya mwaka wa 10 sasa.
Km ni hii Eastern Meditation ( Hindu) acha nipite Kushoto.
 
Hii hutaji jina nimejaribu baada ya kuuona uzi ukisema, nikafata maelekezo. Ila ni mauza uza na nimepata hasara ya kioo maana kilipasuka. Na mwanamke kutokea anatokea ila sura yake haieleweki eleweki sijui nipanick au.
kwa hapo sijui mkuu lakini kioo kupasuka labda nguvu zako within you ndio zilifanya hio kaz me sjuiii
 
Back
Top Bottom