Hakuna kitu ambacho haujaletewa mkuu , ila meditation unaingia tu ndani yako wewe mwenyewe, nafanya mwaka wa 10 sasa.KITU umeletewa huelewi precepts behind uje useme kawaida, kibaya vitu hvyo vinalenga spiritual world.... Ndio uvichukulie kwa udogo sio.
Inaweza kuwa kitambaa, msuli shuka nkKwahyo huu mwekundu sio kaniki? Ni shuka kwahyo!
Mwisho kivipi mkuu tafadhali sana nifafanulie!niliwahi kuambiwa juu ya hio na mwisho wake hua sio mzuri, ulifanya for fun without knowing the outcomes??? next time jaribu kujua hasara na faida la jambo lenyewe kisha pima mwenyewe kipi kinafaa baada ya kujua ndio ufanye mkuu
Historically, the divination ritual encouraged young women to walk up a flight of stairs backward holding a candle and a hand mirror, in a darkened house. As they gazed into the mirror, they were supposed to be able to catch a view of their future husband's face.[1] There was, however, a chance that they would see a skull (or the face of the Grim Reaper) instead, indicating that they were going to die before they would have the chance to marry.[1][2]Mwisho kivipi mkuu tafadhali sana nifafanulie!
Ebu nishushie hiyo makala niisome hapa nimeanza kuhisi kitu. Madame SAn early 20th-century Halloween greeting card depicts a divination ritual in which a woman stares into a mirror in a darkened room to catch a glimpse of the face of her future husband. The shadow of a witch is cast onto the wall at left.
mkuu, mie kuna kipindi chanyuma sana sana niliwah kuisoma hii mahali sikumbuki kwenye website gani nimegugo ndio nimeona wikipedia, nikampm member mkongwe sana humu kumuulizia hio ishu alinambia kua sio nzuri mana mwisho wa siku unaweza kufa ndio nilipofunga huo mjadala sasa najaribu kutafta pms tulizokua tukicha nikiipata nitakutumiaEbu nishushie hiyo makala niisome hapa nimeanza kuhisi kitu. Madame S
ulichokifanya wewe na ninachojua naona viko tofauti yangu unatakiwa umtaje huyo bibie na atatokea kwenye kioo then utaona sura ya mpendwa wako japo mwisho hua s mzuri hiki ndio najuaπ³ Inaonekana we ni mtaalam sana na uko sahihi ndio maana nilisema huyo mwanamke unayemuona kwenye kioo sio wa kawaida na hawezi kupatikana hapa duniani!
Hii hutaji jina nimejaribu baada ya kuuona uzi ukisema, nikafata maelekezo. Ila ni mauza uza na nimepata hasara ya kioo maana kilipasuka. Na mwanamke kutokea anatokea ila sura yake haieleweki eleweki sijui nipanick au.ulichokifanya wewe na ninachojua naona viko tofauti yangu unatakiwa umtaje huyo bibie na atatokea kwenye kioo then utaona sura ya mpendwa wako japo mwisho hua s mzuri hiki ndio najua
Km ni hii Eastern Meditation ( Hindu) acha nipite Kushoto.Hakuna kitu ambacho haujaletewa mkuu , ila meditation unaingia tu ndani yako wewe mwenyewe, nafanya mwaka wa 10 sasa.
kwa hapo sijui mkuu lakini kioo kupasuka labda nguvu zako within you ndio zilifanya hio kaz me sjuiiiHii hutaji jina nimejaribu baada ya kuuona uzi ukisema, nikafata maelekezo. Ila ni mauza uza na nimepata hasara ya kioo maana kilipasuka. Na mwanamke kutokea anatokea ila sura yake haieleweki eleweki sijui nipanick au.
π π mengine huogopi lakiniMi staki kuona mauzauza naogopa
Yale mengine siogopiπ π mengine huogopi lakini