Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

Aisee aendelee kula ugali na dagaa huko kwao sio kumuona Kwa njia hiyo inatisha ,πŸ˜€
 
hehehehehe
 
Wanaposema mtoto Mdogo usimuonyeshe kioo wanajua
 
Kioo huwa kina nasa image ya mtu, mchawi au jini akija ndani uiona picha ya mtu kwenye kioo na anaweza kukudhuru kutumia kioo hicho hicho.
Msipende kukaa uchi kwenye vioo, mnaacha copy zenu hapo
 
bora huu uzi ningesoma tu mchana aagh!, na umeme ndo umekata dah!
 
Kioo huwa kina nasa image ya mtu, mchawi au jini akija ndani uiona picha ya mtu kwenye kioo na anaweza kukudhuru kutumia kioo hicho hicho.
Msipende kukaa uchi kwenye vioo, mnaacha copy zenu hapo
🀣🀣
 
unaji
funza ulozi bila kujua,wataanza kukunyooshea vidole mtaani mda si mrefu
 
Hivi vitu mm naogopa hata kuvijaribu unawezapata matatizo makubwa sana. Kuna vitu vizuri vya kujaribu kama kuoga na chumvi kutoa mikosi na vingine ila kuita majini bro ni big nooo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee nimecheka sana looh
 
Babu utakuja ita majini yaje kutoka kuzimu yana ngare balaa. Yanakukamata na giza hilo yanakut*mba halafu hayaondoki kila siku yanataka gemu.

Hivi umeshawahi t*mbwa na mwanamke wewe badala ya wewe kumt*omba yeye?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
kama umefanya kweli na ukamuona huyo mwanamke, kwa tafsiri ya haraka umemkaribisha / umeunga mahusiano na hilo dubwasha. Kama atakuwa interested tegemea ujio wake tena na tena.
 
Mwamba naomba kuuliza uzi wako ule wa ,kuelezea hustle zako baada ya kufiwa nawazazi wako kwa ajali ya gari nakisha kuingia kwenye shuguli za ujambazi ktk kuwahudumia dada zako uko jukwaaa gani manaa nautafuta sana mr.poker lkn sijabahatika kuuona tena.msaada please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…