Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

Asante sana,this is cute
 
Huyo jamaa ni muuaji pengine yuko kwenye kundi la wasiojulikana.
Hata hivyo kwa upande kuna ugumu nimeuona kwakuwa mimi ni MWANAUME, ugumu huo unatokana na kwamba jamaa alipaswa kukariri tarehe inayo fanana na ile ilipozaliwa,akariri siku moja tu ya kupendana wakati pengine yeye alikuwa anajua kupendana ni siku zote na kubwa zaidi aandike tarehe walizofariki wazazi wako na kama hakuwa mpenzi wa somo la history hapo palikuwa pagumu zaidi. Pole kwa mandhira hayo binti.

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Duh mbona inaliza hii habari
Ukifika wakati wako utapata alie sahihi na amini kwamba

Kuna watu wana afya nzuri na hawana mahusiano miaka kutokana na kusikiza ,kusoma matukio ya mahusiano, au kutokana na waliyotendewa ni ili kuepuka stress kama hivyo,
 
Duh pole sana dada inauma sana ,, jipende jipe kipaumbele ukimtanguliza Mungu, Mungu atakuponya vidonda vyako vyote amina
 
pole sana am so sorry for what happened to u lady......people wanastaajabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…