Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

Aje tu mkuu ila nadhani hatikubali kwa sawa kwa hayo maumivu aliyopata toka kwa jamaa.

Hata hivyo kaka yangu Nikifa MkeWangu Asiolewe ananiasa kila leo nioe bikra.
Bikira muhimu sana. Kununua gari mpya hata ikikuharibikia mkononi mwako sio mbaya sio kununua gari mtumba Tena Kwa mtu shart ukamwage oil kwanza shida zote zanini yaani hujaanza hata kutumia ushamwaga oil kwanza!?
 
Hadi wenye ngwengwe wanapiga na vitu vizito?? 😹

Hebu litaje kwanza km mbwai mbwai ukipewa ban utafungua id nyingine buanaaa..!! 🀣

Mr G… uache ufala umemlia mdada wa watu vihela vyake vya nauli halafu umemzingua Mxieeeeww..!! 😏
 
Mbona mimi ulisema utanioa? πŸ˜₯😹
Maka janja janja sana wewe..!!
 
Duuh Polee sana Dear!! Vipi hutaki kumroga huyo Mr G? Mganga nakupasia buree.
Niko serious mahii.
Matapeli mshachungulia fursa 😹😹
Unataka kumuongezea machungu kuliko ya kusalitiwa..!!
 
Kuna changamoto ya afya, unadhani mwenzie atakubali, na lengo sio kubomoa sehemu moja, ni kujenga kote, akiingia mwingine na yule wa awali awepo, sio kuacha kwa ajili ya mwingine.
Mbona unaanza kuruka Maka? Wewe umesema ungemuoa ila tatizo ushaoa..!!

Sasa Intell kakwambia dini mbona inaruhusu, unaanza sababu za afya..!! Kwahiyo kumbe unaogopa miwaya? 😹😹😹

Ndo ukitulize we jifanye fundi wa mahaba uone..🀣
 
Dah pole sana na hongera kwa kusonga mbele.

Ila umeniacha hoi kimtindo kusema kuwa mwanaume wako alitakiwa kuwa anakumbhka siku muhimu "birthday, valentine na vifo" hii si sawa.
Kukumbuka au kutokumbuka sio Jambo kubwa,ila kama hapo kabla alikua anakumbuka halafu ghafla hakumbuki Tena,maana yake kaacha Kujali..
 
@binti Shida sio mimi, shida unadhani mke wangu atakubali nioe mke wa pili mgonjwa!?
Huyo mzima tu kazi ipo, ila ningekuwa SIJAOA ningevuta jiko.
Ngoma kitu gani?
 
Mbona mimi ulisema utanioa? πŸ˜₯😹
Maka janja janja sana wewe..!!
Aahh.. kmmke walai, we binti usinifanye mie nionekane KIBORODINDA πŸ˜‚πŸ€£

PROJECT ya UZAO wa GROUP O si uliikataa wewe πŸ˜‚πŸ€£
 
@binti
Shida sio mimi, shida unadhani mke wangu atakubali nioe mke wa pili mgonjwa!?
Huyo mzima tu kazi ipo, ila ningekuwa SIJAOA ningevuta jiko.
Ngoma kitu gani?
Acha visingizio sema unaogopa minyenyere 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…