Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

Acha visingizio sema unaogopa minyenyere 😹😹
Huo ugonjwa ni poa tu, watu wana miaka 30 wanaishi nao,mpaka wengine wanakuja kufa na kugongwa na gari. labda shida ni zile tembe tu za kila siku

Sasa niache kuogopa, mikamsa huko, figo, moyo kufanyaje sijui, mara maini..
Ugonjwa tiba milioni 30 na bado huponi.
Niogope ugonjwa dawa bure πŸ˜‚πŸ€£, halafu sikondi wala nini.
 
makaveli10 ni Kama arteta pale arsenal, janja janja tu πŸ˜† πŸ˜‚
 
Sawa una matatizo lakini siku nyingine uandike vizuri bhana asee,, Anyway uyo jamaa ni dhaifu wala usi jutie zaidi ni kua happy ume onyeshwa jinsi gani ungeishi na mwanamume dhaifu for the rest of your life .
 
Muoe sasa dini inaruhusu.. 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…