Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

AMEN
 
Pole jamani, pole sana sina neno zuri la kukuambia.Mungu akuonekanie uvuke salama hiki kipindi.
 
Pole Mkuu.... Kuna wanaume hawajui wanataka nini!
Haina maana sijawahi kuwaumiza wanawake ila kama sina nia na wewe ya kudumu siwezi kuanzisha mahusiano na wewe.

Jipende, fanya kazi kama unahitaji mtoto tafuta namna sahihi ya kupata mtoto. Leo na ishi maisha yako kama atatokea mwanaume basi awe ni complement asipotokea maisha yaendelee. You're a strong woman.
 
Oh pole sana,muhimu kuna kitu umejifunza
 
Pole mpendwa,Meza dawa kwa wakati/sindano alafu sali sanaaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Pole sana kwa kuumwa. Hongera kwa kupata mwenzio, rekebisha hapo kwenye " kijana wenu tayari ni HIV+, umesound kama mwanaume na umeshasema wewe ni binti.
SEMA KITU KIMOJA NYINYI WANAWAKE MKIPENDA BASI HAMUAMBILIKI MNAJIFANYA WAJUZI WA MAPENZI NA MTU MWENYE MANENO MENGI MATAMU NDIO MUNAMUONA NISAHIHI KWENU ,pole kwa yaliyo kukuta ila katika uchaguzi wa mwenza kuweni makini vinginevo kila cku mtajiona hamna bahata ..
 
pole sana JF watu matapeliiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matapeli mshachungulia fursa [emoji81][emoji81]
Unataka kumuongezea machungu kuliko ya kusalitiwa..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu ntakubonda, unaniharibia mchongo ujue. Lol
 
Jamni katili kweli duh
 
Zagiara mimi humu , nimesarenda saivi nachart naondoka bora wewe hukukutana na mafree manson mie hadi hao,vichaa ,waongoo , dah hadi shida saivi good nimeelewa no woman no cry sihitaji wa chumba jf
 
Zagiara mimi humu , nimesarenda saivi nachart naondoka bora wewe hukukutana na mafree manson mie hadi hao,vichaa ,waongoo , dah hadi shida saivi good nimeelewa no woman no cry sihitaji wa chumba jf
Joannah sis hebu nisaidie kumpa pole da Mau 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…