edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
π π π π π π π π π πππππWe nae hutaki dem tu unatafuta visingizio....eti huna muda wa kutongoza utadhani unatongoza kama babu yako hadi kwamba bibi anachuma majani karibia adondoshe mti.
Emoji tano tu unapata dem, kama hata emoji hauwezi sema mi nijitoe muhanga nikuchukue.