Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Ebu tuambie mkuu kwa nini
Kuna rafiki yangu aliniaga anaenda Tanga (Muheza) kwa siku tatu tu ila chakushangaza leo hii mwezi unaenda wa 3 huu kurudi kwake kwa kusua sua mpaka wamegombana na mpenzi wake, nikamuuliza kwann hurudi? Alichonisimualia ndo ndo kimenifanya niwe nawaangalia mara mbili mbili warembo wa Tanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aisee
 
Kuna rafiki yangu aliniaga anaenda Tanga (Muheza) kwa siku tatu tu ila chakushangaza leo hii mwezi unaenda wa 3 huu kurudi kwake kwa kusua sua mpaka wamegombana na mpenzi wake, nikamuuliza kwann hurudi? Alichonisimualia ndo ndo kimenifanya niwe nawaangalia mara mbili mbili warembo wa Tanga
Aiseee. Hicho tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna swahiba wangu alishawahi kunipa kisa kama chako ngoja nimuite naye aje aone.

Mgagaa na Upwa
 
Pole sana mdogo wangu ndio mana niko kwa ajili ya kukumbusha haswa pale unaposahau vitu kama hivi.

Ila izowee jf.
Huu ulevi hauwezi kuniacha salama, sasa hivi nipo pande za G...b mtandaao nao unazingua nimebana sehemu karibu na nyumba kuvizia mawimbi ya post za JF
 
Back
Top Bottom