Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha.
Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapo.
Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje?
Nimlipue?