Mrejesho wa yule kaka wa immigration

Mrejesho wa yule kaka wa immigration

Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha.

Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapo.

Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje?

Nimlipue?
Its either ajira Yako kipato below sub average or you're average Yan not worth the risk (no offense),unausoma or something about you is dick repellent...

Nasema haya koz mwanaume hacheleweshagi shobo ..akiona anashobokewa na kama kamuelewa muhimu kupelekea moto..
Binafsi Dem ata awe ananishobokea vip I have a certain standard...kwanza kama haumzid main wangu Kwa mvuto ase dah ngumu..mana ntapata second that's making a move..wakusoma nao siji associate sana mana Visumbufu..Ila ntaruka nayo maana mda mwingine I like some submissive sex ..
 
1. Hujaelewa kabisa mwanzoo .
Mie sijamshobokea mie sijamfuata all in all mie ndio ananishobokea .
2. Mie hata kama nitamtaka nitamchezea tu wala sina muda na watu wanaojina.
3.mie sihangaikagi nawanaume wanajisikia ni ngumu kupata maendeleo
 
Akirembua na wewe mrembulie kisha umtingishie tako kumuonyesha wewe si wa rejareja 😂😂
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha.

Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapo.

Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje?

Nimlipue?
 
Mlipue, jilipue...either way its fine..life is too short to be playing cat and mouse games ...if you want some get some !
 
1. Hujaelewa kabisa mwanzoo .
Mie sijamshobokea mie sijamfuata all in all mie ndio ananishobokea .
2. Mie hata kama nitamtaka nitamchezea tu wala sina muda na watu wanaojina.
3.mie sihangaikagi nawanaume wanajisikia ni ngumu kupata maendeleo
Mo will beg to differ point no 3
Point ya pili unasema unasema hata ukimtaka utamchezea"hapa sijaelewa maana ye yupo na mahusiano..seems more like we ndo unachezewa maana we upo available tu genye za mdau zikikumanya
 
How are you sure that i am still single??😏😏 eh!
Kama anapewagwa moto hadi M inatoka nyeusi kama mkaa basi ila inaonyeshwa hapewagwi vizuri.
So sinaga time na vijana wenye wako wanaringaga ni game tu hatowahi kusikia nipo serious mathee.
Ukisikia hii kabila utaidharau ila weee tunapalilia vizuri shamba sio hao wenu .

download-7.jpg
 
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha.

Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapo.

Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje?

Nimlipue?

Huyu ni future wife wa mtu? Wanaume tuna changamoto nyingi sana za Maisha!
 
Nendeni Mkaloweke
Chanjo Ya Ukimwi Ipo Kwenye Trial
Mambo Ni Moto Tu Mpaka
Unakataa Johnson And Johnson
Unachanjwa Ya Ukimwi 🤣😂😃😂😁😀😄

Mabeberu Yanatubana Kila Corner Sasa Sijui Twende Afghanistan Tu Wanakokimbia Wenzetu
 
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha.

Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapo.

Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje?

Nimlipue?
Mlipue tu
 
Back
Top Bottom