Mrejesho wa yule kaka wa immigration

Mrejesho wa yule kaka wa immigration

phaller kweli wewe...!!

Haya kwa wasioelewa, 'kuna kaka alikuwa anamuonesha dalili zote za kumtaka ndugu yetu 'ua la kipekee' lakini shida inakuja jamaa hatamki neno na wakati mrembo kaanza ielewa kifaa',

Sasa Leo ndiyo kaleta mrejesho wa maendeleo ya afya ya hayo mapenzi yao ya kuibiana.!!
[emoji23][emoji23] nimecheka kifala sana...ila tumeelewa
 
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka njee nimuone naanjiongelesha .

Chakushangazaa hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapoo.

Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje??
Nimlipue ??

Wewe ni me
Unazuga kuwa ke
Au ni me/ke
 
Writing is an Art

Alisikika aliyezulumiwa korosho awamu ya 5 akisema
 
Dada utakuwa na tatizo sio bure. Ushauri wa bure tafuta dume la kukuchakata akili ikae sawa
 
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka njee nimuone naanjiongelesha .

Chakushangazaa hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home sikuhizi namuona na sijui anajuaje mida yangu yakupita hapoo.

Naanirembulia kabisa kama nini ila kwa sasa ipo kama anahangaika kunipata ila tatizo anamtu wake sasa mie nifanyaje??
Nimlipue ??
Trust me, hizo ni nyege tu.
Ni PM nizimalize.

Hivi Kuna mtu anataka kupewa mbunye kirahisi hivi halafu anachelewaaa.

Dah mbona urahisi huu hatuupatagi sisi?

#YNWA
 
Daah naona panakuwasha ako kapele wakati wakunaji wengi tena wajuvi kabsa.....
 
Dada utakuwa na tatizo sio bure. Ushauri wa bure tafuta dume la kukuchakata akili ikae sawa
Tatizo mnalo nyie sio mimi,mimi ndio niliodata ofisini mpaka watu wanamshangaa mtu unadindisha ofisini je chumbani??
Je akipewa??
 
Back
Top Bottom