Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital.
Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui.
Naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha vidonda vya tumbo na mwili kuuma pamoja na kula Kwa wakati nimeleta hivi?
Sababu kuna wengi wanasumbuliwa na hili tatizo Ili waweze kuwa sawa na wao maoni yenu muhimu wanajamvi halafu naomba anaejua mlp wa mtu mwenye vidonda vya tumbo kuanzia asubuhi mpaka jioni anisaidie kuniorodhoshea wadau huu ugonjwa unatesa sana